Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

hatuamini kwamba viongozi hawazaiwi ila wanatengenezwa, huyu alikua anajitengeneza
 
Jamaa huwa anaongea sana ....huwa simuamini aisee akianza kujisifia nimefanya hili nimefanya hiki daaaaa! wanasema " wachakupiga mayowe wacha waone wenyewe "
 
Kitu ambacho hujui ni fitna anazopiga mtitu na mpoto baada ya Steve kumsaidia Dida pspf wadhamini uzinduzi wa filamu ya Dida ya ughaibuni

mkuu mbna unatoka sana povu..

inaelekea wewe ndye steve,au ni mtu wake wa karibu sana..

tiririka...
 
Naskia jamaa alkuwa anawabania wasanii wenzak madeal,nd wakamchan live akazuga kuresign
 

Nitake Radhi kwani Kibao Kata sio watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…