Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii.
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha CCM.
Je Msigwa atapona?