Akigombea yeye na PANYA nitampigia panya kuliko huyu kuwadi
Wajumbe si watuWajumbe wamemngoa yeye
Ova
🙂 🙂 🙁 yani wanatikisaaa kopo... anakunywa kisha anamtazama mwenzake usoni wakati anamkabidhi huku akijifuta machicha ili agonge meza vizuri!!!Yaani Ccm na Ndugai wamefanya bunge lionekane kama klabu ya pombe za kienyeji.
Kila msanii anataka kuwa mbunge. Hii ni dharu ya kiwango cha juu sana. Muonekano wa wengine haustahili hata kutamka neno bunge. Mwana mume kavaa hereni, kasuka nywele leo anataka awe mbunge. Wengine wezi wa rambirambi leo Ccm inawaona ni material cndidates. Na Ccm mnaona ni sawa tu... Maadili ya kijinga kabisa haya..