Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
Steve Nyerere?
Iringa?
Kwani kuna msiba wa nani huko?
 
Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
Kwani huko Iringa hakuna wakusanya rambirambi wakati wa misiba ?
 
yani great thinkers mnajadili mtu kama Steven Nyerere kabisa?
 
Ubunge ni kitu nyeti sana kwa maendeleo ya nchi ila kwa sababu ya upumbavu wa watu wachache huyu anaweza akapewa ushindi wa mezani ili kuruhusu upumbavu wao kuendelea..na cha ajabu anatangaza nia kugombea wakati ambao Msigwa kamlipua Kigwangala kwa matumizi mabaya ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
....Maaaarufu sana......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwahi kujua kuwa msigwa ni mtupu zaidi ya nidhaniavyo.
Majuzi juzi bungeni alikuwa anaponda tu kila kitu, akajitokeza mbunge mwingine akasema usiponde tu toa na solutions, hizo solutions ni very low brain..
Namehauri aendelee kuponda!
 
Hivi kuna watu wanafikiri wananchi ni wajinga kiasi hiki mpaka wamchague punguani kama steve nyenyere
 
kuna majimbo hata ccm wanajua hawawez kushinda hata wafanyeje mf kwa zitto, sugu na msigwa...Akamuulize kafulila kilichomkuta
 
View attachment 1350166

Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii.

Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha CCM.

Je Msigwa atapona?
Maajabu haya

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom