Hao wote johnmbatizaji na huyo nyerere ni maombaomba wamekutana sebuleni kwa Asa's kila mmoja anashida yake sawa wanasukumiana nani aanze kusema shida zake mbele ya mwenzie wanashindwa kusema shida zao wameanza kulazimishana kutoka mlangoni kwa tajirihuyo Stive Nyerere ni kijana wa kada wa CCM Iringa almaarufu Asas na miaka yote CCM humtumia kwenye siasa zake za majitaka
JOHN- we nyerere tangulia kutoka mimi Nina shida na ustaadhi
NYERERE- anasema toka kidogo wewe john Mimi nilikuwa Nina mazungumzo mda mrefu umenikuta hapa