RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Hio dharau umeiona wapi? Usanii ndio kazi yao kabla na inawezekana hata sasa hivi.Hivi umefuatilia michango ya hawa wabunge unaowadharau bungeni ? tema mate chini
Hio dharau umeiona wapi? Usanii ndio kazi yao kabla na inawezekana hata sasa hivi.Hivi umefuatilia michango ya hawa wabunge unaowadharau bungeni ? tema mate chini
Hahahaaaa......... CCM siyo kama Chadema mnagombania ruzuku huku fursa kibao ubunifu wako tu!Hao wote johnmbatizaji na huyo nyerere ni maombaomba wamekutana sebuleni kwa Asa's kila mmoja anashida yake sawa wanasukumiana nani aanze kusema shida zake mbele ya mwenzie wanashindwa kusema shida zao wameanza kulazimishana kutoka mlangoni kwa tajiri
JOHN- we nyerere tangulia kutoka mimi Nina shida na ustaadhi
NYERERE- anasema toka kidogo wewe john Mimi nilikuwa Nina mazungumzo mda mrefu umenikuta hapa
Ameombwa........bado anatafakari!Hivi yule mwenye kiwanda cha maziwa siametia nia ya kugombea ubunge iringa?
Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana
from mudi kidato
Huyo atamlia tu Mchungaji Msigwa pensheni yake!Na safari hii amepata baraka zote kutoka lumumba , Mwakalebela baki Yanga tu , Mahiga umri umekutupa , Chalamila endelea kutukana huko Mbeya
Who is steve nyerere? takataka toka mitaani nayo mnaipa headline!Siasa ni sayansi.
Tulipomsikia tu Mchungaji Msigwa akilianzisha bungeni juu ya udhaifu wa kuwatumia wasanii uchwara kutangaza utalii wetu na mara Steve Melenge akakurupuka kujifanya anamshambulia Msigwa watu makini waligundua kuna mchezo unachezwa.
Steve kwa muda mrefu yuko kwenye biashara ya kuvuna kupitia siasa na hana ubunifu wowote ndio maana kajiegemeza kwenye jina la " marehemu" baba yao akina Makongoro.
Miongoni mwa waathirika wa biashara chafu za Steve ni Nape Nauye na sasa atafuata ustaadh Kigwa muda si mrefu.
Niwaonye tu wanaccm hapo Iringa mjini akina Kiponza, Chalamila na wengine msidanganyike na Steve yuko katika biashara na Mchungaji Msigwa.......... siasa ni sayansi na safari hii CCM hakuna fedha wala khanga za kuhonga wasanii uchwara wanawinda mafao ya wabunge wa upinzani.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge huwa ana sera? Azitekeleze kivipi wakati yuko chini ya sera za chama?Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana
from mudi kidato
Angalia mpumbavu mwingine...baba wa kufikia ndio takataka gani...mind your own business.Hii ya kuita wanzania mabogus acha kuanzia leo, kuna wengine ni baba zako wa kufika hapa. Ongea vizuri na mamako
Hicho kweli ni kisiki yani hata futi nne unusu anaweza asifikeHiki kisiki kimemkwamisha
View attachment 1350482