Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Mkuu.... Rejea kauli ya Mh. Spika aliyoitoa siku ya Jumanne kwenye kikao cha bunge wakati wa maswali na majibu kwenye Wizara ya Maliasili na Utalii.

Alisema "Bunge[/b] letu linaongoza kwa kupokea wageni wengi ukilinganisha na idadi ya watalii wanaofika katika hifadhi zetu"

Inawezekana kabisa Bunge letu ni miongoni mwa maajabu ya dunia, kivutio kikubwa cha utalii au vinginevyo kwa namna walivyoamua kuli'shape'.

Kuna list kubwa inayotaka ubunge, sina hakika kama lengo ni kupeleka michango yao huko ili kulivusha taifa letu kutoka lilipo au nia ni kuwakomoa wananchi kwa aina ya uwakilishi wao.

Muda utasema, na mwenye bahati yake & kustahili[/b] atapata.
Bunge limedhaifika hadi wahuni, walarambirambi wadangaji, wanahisi ndio sehemu inayowafaa kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1350166

Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu , ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii .

Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha ccm .

Je Msigwa atapona ?
Mwambieni Iringa siyo Mombasa......kama anatafuta waarabu aende Unguja huko watambeba.

CCM Iringa mjini hatutaki ujinga wa mpunga!
 
Du ! Kumbe Harmonise hajui kusoma wala kuandika ! Lol, kwa hiyo nyimbo hua anakaririshwa ? Asee ! Na kale kakimombo sijui kajifunzaje ? Ka ! Sijui mesej mitandaoni nani anamuandikia na kumsomea? Sijaonaga lakini , hee ! Anyway kamkwanja kidogo anako alahamdulillah !
Anajua kimombo mtu hata hajui kirefu cha VIP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge lilijaa sisiem,ndio maana nalidharau sana. Yaani hata huyu bwege nae ataka akaongezee udhaifu?. Alivyo na hoja dhaifu,eti amenitaja bungeni lazima nikamng'oe. Hapo ndio linaonekana dhaifu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani bunge lilikuwa na wakata issue.

Baada ya akina Sugu kuingia, basi ndiyo goli liko wazi, hata shilole nae anajiona anatosha, akina Wema walijaribu kura za maoni hazikutosha. Bila shaka kwa kuwa mipasho ya watu kama kibajaji inawapa mileage; bila shaka "Steve Nyerere" kwa masikhara masikhara yake kajipima na kudhani anaweza kuwa Mbunge na kwa nafasi hiyo kuwa na diplomatic passport.

Yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni sayansi.

Tulipomsikia tu Mchungaji Msigwa akilianzisha bungeni juu ya udhaifu wa kuwatumia wasanii uchwara kutangaza utalii wetu na mara Steve Melenge akakurupuka kujifanya anamshambulia Msigwa watu makini waligundua kuna mchezo unachezwa.

Steve kwa muda mrefu yuko kwenye biashara ya kuvuna kupitia siasa na hana ubunifu wowote ndio maana kajiegemeza kwenye jina la " marehemu" baba yao akina Makongoro.

Miongoni mwa waathirika wa biashara chafu za Steve ni Nape Nauye na sasa atafuata ustaadh Kigwa muda si mrefu.

Niwaonye tu wanaccm hapo Iringa mjini akina Kiponza, Chalamila na wengine msidanganyike na Steve yuko katika biashara na Mchungaji Msigwa.......... siasa ni sayansi na safari hii CCM hakuna fedha wala khanga za kuhonga wasanii uchwara wanawinda mafao ya wabunge wa upinzani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unajua sayansi ni nini....wewe jamaa ni bwege mtozeni.
Hivi nyinyi watanzania mbona mabogus sana? Mkiambiwa mwende shule hamuwezi kazi kukalia umbea na ujinga ujinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni Iringa siyo Mombasa......kama anatafuta waarabu aende Unguja huko watambeba.

CCM Iringa mjini hatutaki ujinga wa mpunga!
Ameandika Steve Nyerere Muda Mfupi kuhusu kugombea Ubunge Iringa__'Nimekuwa Niki ( 640 X 640 ).jpg
 
Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
 
anapanua matawi,sasa atasimamia misiba ya waheshimiwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom