Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kinondoni alichukuwa fomu ila aliangukia pua kwenye kura za maoni .
ccm ina wenyewe wewe , kwani hujamsikia Magufuli akitaka mtu asiyejua kusoma na kuandika agombee ubunge huko kusini kisa kamtungia wimbo wa kumtukuza ?Pumbavu kabisa ! Huyu Steve Nyerere ? Acha utani !
Yule jamaa analiwazwa tu... Mzee hakuwa seriousccm ina wenyewe wewe , kwani hujamsikia Magufuli akitaka mtu asiyejua kusoma na kuandika agombee ubunge huko kusini kisa kamtungia wimbo wa kumtukuza ?
View attachment 1350166
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu , ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali asili na utalii kuwatumia wasanii wa kibongo kwamba hawana uwezo wa kuvuta watalii .
Steve Nyerere ambaye rekodi yake ya kuhudhuria misiba na kulia misibani bado haijavunjwa amejipanga kisawasawa kugombea kupitia chama chake cha ccm .
Je Msigwa atapona ?
Huku tutamsiraaKinondoni alichukuwa fomu ila aliangukia pua kwenye kura za maoni .
Kuna Dada mmoja anataka Kuingia bungeniHuku tutamsiraa