econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Leo katika press conference yake Steve Nyerere ambaye ni kada wa CCM alijadili mambo mawili ya msingi na kudhibitisha kwamba Tume Huru ya ya uchaguzi haipingiki.
1. Kwanza kahoji kama Mbunge wa Muheza kupitia chama cha CCM, Mh Mwinjuma alishinda kihalali.
Hili ni muhimu, ina maana kuna Wana CCM wanashuku Wana CCM wenzao kutoshinda kwa haki.
2. Pili, kahoji kuhusu wabunge wa memo. Yani kuna kiongozi alikuwa anatoa memo ya nani awe mbunge na nani asiwe mbunge.
Kwa hivyo, wananchi hawana sauti ya mwisho bali memo kutoka kwa mkuu wa nchi.
Nadhani kutokana na Wanaccm wenyewe kuonesha kutokubaliana na mfumo wa uchaguzi ni muda sasa tuanze mchakato wa Tume Huru.