Steve Nyerere kathibitisha umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi

Walichokuwa wanakataa kina mwana fa na wakazi ndio hicho kuwa Steve ni mbumbumbu.

Kuthibitisha hilo ni hizo kauli alizotoa Leo Ina maama hawezi kuilunda na kuitetea Katiba ya shirikisho kwa maana Hana Siri na tashangaa sana viongozi wa chama cha mapinduzi kama watamuacha.

Inatakiwa aitwe ahojiwe na athibitishe pasina shaka hayo aliyonena Leo akishindwa wamvue uwanachama.

Steve kaongea mambo mazito sana aliyoyapa wepesi ni muda Sasa chama kumwita.

Wakimitwa watamuita sio kwa ajili ya kudhibitisha anachosema,bali ni kumtishia kwa kuongea ukweli ambao ni fedheha kwa ccm.

Ule uhayawani uliofanyika kwenye uchaguzi kila mtu aliouna, hata kama watu wanaaogopa kuogea kutokana na kulinda usalama wao.
 
Steve yupo Sawa japo kafanya personal attack Kali Sana Kwa Mwana FA , kiufupi kampiga Mwana FA na kitu kizito Sana kichwani 😊....!!! Steve apewe mda
Hiyo ndiyo akutukanaye hakuchagulii tusi.
 
Huu mziki ulipotoka ni mbali sana walioupigania wengine ndio hao kitandani wanapigania uhai wao kina prof jay ukija uku sugu anakaa kimya nadhani wanaogopa kuonekana wanaleta siasa kisa yeye CDM

Kama kudai maslahi na haki tuna kumbuka marehemu luge alisemwa sana kuhusu unyonyaji tuliona waliosimama nakupingana naye live uku kundi kubwa likibaki na uchawa.

Lady jay Dee na sugu walisuguana live na luge bila chenga, uku kina mwana fa wakiwa chawa wa luge ngoja tuishie hapa tusifukue makaburi
Kipindi kile liliibuka jina "mwana Fa_tuma
 
Walichokuwa wanakataa kina mwana fa na wakazi ndio hicho kuwa Steve ni mbumbumbu.

Kuthibitisha hilo ni hizo kauli alizotoa Leo Ina maama hawezi kuilunda na kuitetea Katiba ya shirikisho kwa maana Hana Siri na tashangaa sana viongozi wa chama cha mapinduzi kama watamuacha.

Inatakiwa aitwe ahojiwe na athibitishe pasina shaka hayo aliyonena Leo akishindwa wamvue uwanachama.

Steve kaongea mambo mazito sana aliyoyapa wepesi ni muda Sasa chama kumwita.
Sijaona point yako inayo pingana na mleta UZI, nilicho kiona ni vitisho kwa Steve Nyerere kwa yeye kuusema ukweli; is like unakubaliana na hoja za Steve but hujapendezwa na yeye kutoa SIRI! Swali ambalo ulitakiwa kujikita nalo,

Je hoja ya tume ya uchaguzi kua halali au sio HALALI is it varied or not?
 
Walichokuwa wanakataa kina mwana fa na wakazi ndio hicho kuwa Steve ni mbumbumbu.

Kuthibitisha hilo ni hizo kauli alizotoa Leo Ina maama hawezi kuilunda na kuitetea Katiba ya shirikisho kwa maana Hana Siri na tashangaa sana viongozi wa chama cha mapinduzi kama watamuacha.

Inatakiwa aitwe ahojiwe na athibitishe pasina shaka hayo aliyonena Leo akishindwa wamvue uwanachama.

Steve kaongea mambo mazito sana aliyoyapa wepesi ni muda Sasa chama kumwita.
[emoji33][emoji33][emoji33] ... Sio kwamba kionhozi mkweli ndie anatakiwa au [emoji848][emoji848][emoji848] Du!!!
 
Steve ameongea ukweli.

Lakini sasa hio huwa Siri... Steve amefanya kosa la mezani, yaani Kuongea wakati wa kula..

Hivyo hata hilo shirikisho hafai
 
Back
Top Bottom