Steve Nyerere kathibitisha umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi

Steve ameweka wazi CV ya FA hana kosa.
 
Punguza mihemko tupo kujadili mambo ya msingi yule ni kada wa chama anatoaje kauli za ajabu ajabu akimtuhumu mwana chama mwenzie hadharani aisee tulia tena tulia hapa siyo fb au insta ndio maana tumechokoza mjadala
 
Huenda waliomteua waliona ukaribu wake na vigogo wa Ccm na serikali utakua na matokeo chanya kwa wasanii wa muziki.
Huu mziki ulipotoka ni mbali sana walioupigania wengine ndio hao kitandani wanapigania uhai wao kina prof jay ukija uku sugu anakaa kimya nadhani wanaogopa kuonekana wanaleta siasa kisa yeye CDM

Kama kudai maslahi na haki tuna kumbuka marehemu luge alisemwa sana kuhusu unyonyaji tuliona waliosimama nakupingana naye live uku kundi kubwa likibaki na uchawa.

Lady jay Dee na sugu walisuguana live na luge bila chenga, uku kina mwana fa wakiwa chawa wa luge ngoja tuishie hapa tusifukue makaburi
 
Kadhihirisha upumbavu wake, hata kamati iliyomteua nimejiridhisha kuwa ni ya hovyo, sasa Fid q ndio alikua anasema mtu kama huyu apewe nafasi??? Fid jitathmini
Fid Q mwili wake na achoimba haviendani kabisa na uhalisia wa maisha yake kajaa woga woga na kupenda uchawa chawa tu

kitambo wenzie wanapokuwa kwenye harakati yeye humuoni hana uthubutu wakutoka mbele za camera na kuwa upande wa upinzani wa jambo lolote kenye kutaka haki yeye huwa neutral
 

Kweli kabisa
 
Punguza mihemko tupo kujadili mambo ya msingi yule ni kada wa chama anatoaje kauli za ajabu ajabu akimtuhumu mwana chama mwenzie hadharani aisee tulia tena tulia hapa siyo fb au insta ndio maana tumechokoza mjadala
Unanitisha? Nipo Mwanza, Ghana hapa njoo unikamate.

Wakati anadhihaki wenzie hakujua kama ni makada wa chama anapaswa kuwakosoa kwa mtindo upi?



Mnavyolidharirisha jeshi la polisi hadharani kila siku hamjui mchango wake kwa chama, mnajisahau kwamba kuna siku mtawahitaji polisi kuliko hata WANEC?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Tume huru au katiba mpya mbona unatoka kwenye mstari au unataka tuungane na wewe
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubaliana na uchafuzi mkuu
 
Hayo yote ni kura za maoni kule CCM!
nafikiri tatizo limeanzia hapa - bado jamaa anaumia


Matokeo ya kura za maoni katika jimbo hilo ni:
Jesca Msambatavangu – 190
Nguvu Chengula – 75
Ibrahim Ngwada – 44
Steven Mengere (Steve Nyerere) – 6.
 
Msiingize Tume inayoongozwa kisheria kwenye mambo ya kihuni ya wasanii sisi tunajua hizo ni presha tu steve kutaka kumshambulia mwana FA sasa mkianza kuingiza taasisi za serikali kwenye mambo binafsi sio sawa.
 
INGEPENDEZA kama Angemalizia kwa Kusema Mwendazake ndiye ALIVURUGA UCHAGUZI 2020 na kutuletea Wabunge fake
 
Ni Ruge/Rugemalira, sio luge
 
😂😂😂😂
 
Rais Samia anao uwezo wa kuumaliza huu upuuzi unaoendelea miongoni mwa wanamuziki ndani ya dakika tano tu.

Ni uamuzi wake lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…