PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.

Ukitaka uishi vizuri nchi hii huwe mpumbavu wenye akili hawahitajiki!!si unaona wapumbavu kama hawa wanavyopewa airtime mbwa kabisa hawa
 
Wakati ule, miaka ile, wale wengine wakihoji kuhusu serikali walikuwa wanaambiwa wana udini...
Sasa meza imepinduliwa.....
 
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.

Hii ndiyo akili kubwa imetumwa na serikali...halafu tunashangaa kwanini nchi inaenda kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.

Ni mpumbavu Sana Yule, Kwani yeye si ni bongo movie? Au ni mwana siasa?? Atulize kipele
 
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.

Tahila Kama Steve Nyerere anajuwa nini zaidi ya uchoko.
 
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.

WEWE TAKATAKA UNAONGEA KAMA NANI FALA WEWE.
 
Hii nchi manina kabisa yaani tunamsikiliza huyu mjinga nae anaongea kutoa ushauri upuuzi sana. Wanachuo na Wasomi wetu wamebaki kama mapimbi. Qmmq
Inashangaza..media zina ombwe kubwa mnooo..enzi za kina jenerali Ulimwengu hayakuwepo haya
 
Juzi jumapili ya pasaka walifanya tamasha la pasaka pale The super dome masaki, mgeni rasmi alikua Makamu wa Raisi mtarajiwa wakamualika na Mkurungenzi wa SGR, kilichokua kinaendelea kule ndani ilikua ni siasa, na huyo Steve nyerere ndo alikua mstari wa mbele
 
Back
Top Bottom