Hizo mic ni bahasha tu inazipimaNaunga mkono hoja,huyu dogo yuko vizuri, ana kipaji cha kuongea vizuri,na ana bahati ya kukubalika,angalia idadi ya hizo mic zilizo mzunguka!,huyu ni celeb wetu niliwahi kuuliza Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
Hapo kaongea nini