Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ukitaka uishi vizuri nchi hii huwe mpumbavu wenye akili hawahitajiki!!si unaona wapumbavu kama hawa wanavyopewa airtime mbwa kabisa hawaNi hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.
Hii ndiyo akili kubwa imetumwa na serikali...halafu tunashangaa kwanini nchi inaenda kama kuku aliyekatwa kichwa.Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.
Ni mpumbavu Sana Yule, Kwani yeye si ni bongo movie? Au ni mwana siasa?? Atulize kipeleNi hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.
Eti anaongea kama Nyerere, tuna Watu wajinga sana Nchi hiiHiki kifala kikuwadi kinaongea nini?......kichwa cheupe pee....eti kinafurukuta...takataka tupu
Tahila Kama Steve Nyerere anajuwa nini zaidi ya uchoko.Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.
WEWE TAKATAKA UNAONGEA KAMA NANI FALA WEWE.Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amedai hatua hiyo ni hatari kwani nyumba za ibada zibaki kama sehemu ambayo inawajenga Watanzania kiroho.
Huyu kituko Steve Nyenyere ndiyo mshauri wa rais.Steve Nyerere
Inashangaza..media zina ombwe kubwa mnooo..enzi za kina jenerali Ulimwengu hayakuwepo hayaHii nchi manina kabisa yaani tunamsikiliza huyu mjinga nae anaongea kutoa ushauri upuuzi sana. Wanachuo na Wasomi wetu wamebaki kama mapimbi. Qmmq
💯Ndiyo Maana tuko hivi,,Nobody is seriously!!Tupo Tupo tuu...