PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu mjinga anamwambia nani haya maneno,pumbavu zake
 
Naunga mkono hoja,huyu dogo yuko vizuri, ana kipaji cha kuongea vizuri,na ana bahati ya kukubalika,angalia idadi ya hizo mic zilizo mzunguka!,huyu ni celeb wetu niliwahi kuuliza Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
 
Atulie, hajui siasa zinaanzia na kuishia kufanyika wapi. Viongozi wa dini hawawezi kukaa kimya wakiona haki za raia/waumini/wananchi zikikiukwa na kukanyagwa na watawala. Kina Elia na Yohana Mbatizaji waliwakemea watawala dhalimu waliokuwa wanadhulumu haki za wananchi/raia
 
Kwa akili ya huyu ndugu kwani anajua siasa ni nini na dini ni nini?
 
Huwezi kutenganisha siasa na dini
 
Huyu pimbi ndiye anafanya watu wafupi wadharaulike.
 
Mtu ambaye ameshindwa kuelewa umuhimu wa kutumia jina la baba yake, anajipachika majina ya watu wengine, bado mnaamini ni mzima wa akili? Tusipoteze muda wa kujadili maneno ya watu wenye uwendawazimu.
 
Ila kufanya Ibada kwenye siasa ndio sawa kabisa
 
Alishindwa kumuezi baba yake mzazi akamuenzi baba wa taifa na mwishowe familia ya baba wa taifa ikamkataa mbele za watu
 
Mshauri wa SAMIA 😂😂🙌🙌
 
Uwizi ni miongoni mwa dhambi nyingi zinazokemewa kwenye nyumba za ibada. Kwa hiyo wewe ukiwa mwizi lazima ujishuku kuwa unasemwa
 
Sasa asiposema hivyo, mnafikiri ataishishe hapo mjini sema kinachokera tu ni pale ambapo kimtu kama kidudu kinapochafanya kwamba kina akili kuwazidi viongozi wenye busara na hekima ambao wanasimamia maadili mema katika taifa pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo.
 
Hivi kuna watu timamu wanaweza kumsikiliza huyo punga?
Machawa kama huyo ni wa kupuuzwa tu, akili zenyewe tu hana
 
Mtendaji Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi wa Mama Ongea na Mwanae Steve Nyenyere amekemea Maaskofu nchini kuchanganya Dini na siasa. Asisitiza si sawa!

 
Sasa hivi wako mbioni kuanzisha tukio kuwatoa relini watanzania ishu ya FR kitima na Mdude Nyagali. Nadhani wameshamuapproach mwijaku akubali kurekodiwa akitatuliwa marinda halafu wasambaze video. Na mwijaku alivyo Hana mshipa WA aibu atakubali Tu Tena atafurahi.

Nyau de adriz
 
Another idiot !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…