Hawakua sahihi katika lileLicha ya upigaji wa nyalandu.... lakini katika wakati wake alijitahidi kiasi kuutangaza utalii.... nakumbuka aliingia mkataba na team sunderland ambayo ili weza kuitafutia wizara husika kupata deal ya kuitangaza serengeti katika league ya EPL.. na tangazo lilikuwa linarushwa kweli kupitia zile bilboards za pembeni ya pitch..... binafsi naona ule utaratibu ulikuwaga ni mzuri sana kuweza kuwafikia watu wengi duniani kwa sababu league ya EPL ni platform kubwa ulimwengu...hivyo ndio ilikuwa sehemu sahihi kabisa kwetu kama nchi kuweza kuutangaza utalii wetu...nakuweza kufahamika zaidi
kina nani hawakuwa sahihi !Hawakua sahihi katika lile
Anapenda au anaokotaokota tu wanawake kama yeye alivyookotwa na Ray Kigosi!Steve Nyerere fupi nyundo na sijui kingerefuka hata kidogo tuu kama mwanafunzi wa darasa la pili ingekuwa je? maana hapo ni mfupi km mwanafunzi wa darasa la awali na akili yake ambayo haina hata lepe la utanbuzie day and night anawaza wanawake I wonder ndio maana ana nanihulu
Hapa ndio tatizo lilipo na si issue nyingine😃😃ebitoke sasa ana impact gani...?nani ambaye anamjua huko duniani...... ? mwananchi wa kawaida ambaye hata kula yake ya mchana inamshinda hawezi kwenda kutalii....bado kwa kiasi,kikubwa sekta hii inawahitaji wageni kutoka nchi za nje ili iweze kukuua zaidi kwa sababu wao wanajimudu kimaisha na pia ni watu ambao wana utamaduni wa kupenda kuizunguka dunia....... kuna watu wamezaliwa hapa hapa bongo na mpaka wamekufa hawana hata hizo interest za mambo ya utalii...... na kikubwa zaidi kinacho changia ni ugumu wa maisha...... ugumu wa maisha umesababisha maisha ya starehe kwa wabongo yawe ANASA Mla Bata
oohh ohh okay....ahh wale si wajanja tu wapigaji... ukiona kuna kampeni ambayo ndani yake kuna sura ya huyo P.I.M.P steve nyerere ujue hapo kuna mchongo wa kupiga pesa tu.... na sio kuiletea mafanikio sekta husikaMh Waziri na watu aliowachagua kufanya ile kampeni ya kukuza utalii
Katika hili la kuwatumia Steve Nyerere na wenzake ndio nimejua kuwa shule tu haitoshi kuondoa ujinga......hivi mashabiki wa Steve Nyerere ni watu wakufanya utalii.....wanaweza kujiorganise nakupanda Mlima Kilimanjaro kweliiii.....Halafu ni nin unaweza kukitumia kupima impact ya ongezeko la watalii vs kampeni yakuwatumia wasaniii......what a stupid decisionNimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala.
Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye, wenzie na Mh Kigwangala walikua na nia nzuri ya kukuza utalii ila hawakua watu sahihi kwa kazi ile
Huenda walidhani utalii ni sawa na kuhamasisha watu kwenda kupata chanjo ya suruaKatika hili la kuwatumia Steve Nyerere na wenzake ndio nimejua kuwa shule tu haitoshi kuondoa ujinga......hivi mashabiki wa Steve Nyerere ni watu wakufanya utalii.....wanaweza kujiorganise nakupanda Mlima Kilimanjaro kweliiii.....Halafu ni nin unaweza kukitumia kupima impact ya ongezeko la watalii vs kampeni yakuwatumia wasaniii......what a stupid decision
Ni hawa wahudumu wa baa ndo amaoongelea huyu Mwenyekiti wa misiba Tanzania.Hivi mwanamke wako akichukuliwa na Steve Nyerere si utacheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha!!oohh ohh okay....ahh wale si wajanja tu wapigaji... ukiona kuna kampeni ambayo ndani yake kuna sura ya huyo P.I.M.P steve nyerere ujue hapo kuna mchongo wa kupiga pesa tu.... na sio kuiletea mafanikio sekta husika
ANATIAA AIBU UNA MKE NA MTOTO KAMA SI WATOTOO UNAONGEA UPUUZI KUWAIBSHA MKEO AMA WAKWE ZAKONimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala.
Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye, wenzie na Mh Kigwangala walikua na nia nzuri ya kukuza utalii ila hawakua watu sahihi kwa kazi ile
HIVI NNAMJUA ANAPOISHI MH WETU MROPOKAJI NENDEN MKAONE ALAFU MWELWE MBUNGE NAPESA ZAKE ANAWEZA SHINDWA KUMPANGISHA MWANAMKENimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala.
Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye, wenzie na Mh Kigwangala walikua na nia nzuri ya kukuza utalii ila hawakua watu sahihi kwa kazi ile
Kampeni yote ilikua ni poor allocation of resourcesSteve kaongea ujinga sana halafu eti ndiyo kiongozi wa wasanii hili ni tatizo sana. Msigwa alijenga hoja nzuri kuhusu namna bora ya kuutangaza utalii wetu nje ambako ndiyo target kubwa maana huwezi tegemea watalii wa ndani ambao watu wenye uwezo wa kufanya utalii huo ni wachache sana kutokana na kipato. Kwa hali hiyo huwezi tegemea msanii sampuli ya steve aweze kumshawishi hata mgeni tu kutoka Kenya aje aangalie vivutio vyetu kisa kamuona Steve au Dude lazima tuwatarget watu wenye ushawishi mkubwa
Tumtumie Mbwana Samatta au hata klabu yake ya sasa ya Aston Villa, wana mitindo wetu Happiness Magesa, Odemba kwa kuanzia twende kwa hao wengine wakubwa itatusaidia sana kuukuza utalii wetu sasa Steve analeta shutuma zisizo za msingi na kutaka kuaminisha kuwa Msigwa kawadhalilisha wasanii atulie huyo Msigwa alikuwa anadiscuss issue kubwa kuliko huyo mwanamke wa Sinza