Steve Nyerere: Mchungaji Peter Msigwa nimemchukulia mwanamke ndio maana anaendekeza ugomvi na wasanii kutangaza utalii nchini


Huyu kadharau bunge. Kama wa bunge dhaifu walihojiwa na tume ya maadili ya bunge huyu alipaswa kuwa Kesha alikwa.
 
Watu walipiga hela tu wakatembea..!
 
 
Msigwa yupo right kabisa,tatizo haka ka steve kanajiona kasupastaa sana,bora hata kanumba alishavuka mipaka. Labda tukatumie kama konda kwenye lile treni letu la sgr kapige debe na makelele yake yasiyokuwa na mpango
 
Msigwa nae ni wivu tu mbona nae alizurura sana wakati wa Nyalandu? na hatukusikia upupu wake
 
Unasema nini ww unaekula pesa za mayatima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si hatutaki tena mabeberu kwa sababu ya pini aliyopigwa jamaa kwenda US.Tuna utajiri wa kutosha
 
Tuwe wakweli Steve ana hadhi gani ya kushindana na Msigwa Bahati mbaya elimu zao ni tofauti kabisa Msigwa kajenga hoja naye ajibu kwa hoja Huwezi kuwaambia watanzania eti una followers milioni 60000000 wakati watanzania wako milioni 50000000 yote hii ni kukosa elimu yeye abakie kupiga hela za misiba na kujipendekeza Kuna wasanii wenzako walifia Mikumi na wengine mlima mbalizi kwa mambo ya ushabiki Wakazi wa Iringa sio wajinga kama wewe wale wamesoma Msigwa kakosea wapi halafu unasema Msigwa hajafanya chochote Iringa wewe utajuaje kama hajafanya kitu wakati uko Dsm kupiga mizinga tatizo Elimu ndogo
 
Tatizo siku hizi mtu akishakuwa na followers basi anajiona Ana uwezo wa kutumika kufanya kitu fulani
Mambo ya utalii unatuingizia wahuni haoo
Ndomana Kenya kwenye sekta ya utalii watazidi
Kutufukunyuaaa, maana sisi hatuko serious

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Msigwa aliongea points tupu Hadi Kigwangalla mwenyewe akawa mpole.

Ukiona hivyo Kuna dili limezimwa. Kwa points za Msigwa kigwa hawezi watumia tena hawa mafala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale wachungaji wanapokutana na wasanii, hakuna tofauti, matapeli woteee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…