Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.
Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana kwa maisha ya Mtanzania ni nadra sana kwa Mzee mwenye zaidi ya miaka 80 kuwa na akili zote.
SOma: Pre GE2025 - Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe
Vinginevyo akiendelea kutukana Chadema hatutamnyamazia tutamlipua na kiukweli hatutakuwa na MSWALIE MTUME, nina hakika hatotuweza zaidi ya kutuma Watekaji ili watuue kama alivyouawa Ally Kibao, Haiwezekani Mtu mzima kutwa kucha kushambulia Chadema kwa hoja duni na za kijinga huku Nchi ikikosa gloves na pamba za Wamama kujifungulia, Na bado Waziri wa Afya akifungua Makongamano kwa kiingereza cha Ugoko.
Naomba Kuwasilisha.