kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mzalendo wa mchongo!Nikiwa kama Mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzalendo wa mchongo!Nikiwa kama Mzalendo
Labda akufundishe kusinzia wewe umfundishe kuacha kusinzia kwasababu una ujuzi wa kuto sinziaAfundishwe kwanza kuacha kusinzia 😂😂
Hakuna wakumshauri mwenziwe. Ccm wote wanafanana.Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.
Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana kwa maisha ya Mtanzania ni nadra sana kwa Mzee mwenye zaidi ya miaka 80 kuwa na akili zote.
Vinginevyo akiendelea kutukana Chadema hatutamnyamazia tutamlipua na kiukweli hatutakuwa na MSWALIE MTUME, nina hakika hatotuweza zaidi ya kutuma Watekaji ili watuue kama alivyouawa Ally Kibao, Haiwezekani Mtu mzima kutwa kucha kushambulia Chadema kwa hoja duni na za kijinga huku Nchi ikikosa gloves na pamba za Wamama kujifungulia, Na bado Waziri wa Afya akifungua Makongamano kwa kiingereza cha Ugoko.
View attachment 3225956
Naomba Kuwasilisha.
Kwenye vikao eti eeehLabda akufundishe kusinzia wewe umfundishe kuacha kusinzia kwasababu una ujuzi wa kuto sinzia
Nikweli wengine walisema mkuu wa wilaya aliye tumbuliwa alienda maporini mwenyewe hakutumwa na serikaliHakuna wakumshauri mwenziwe. Ccm wote wanafanana.
Huyu Shehe alindweWassira aje ajibu habari hii
Swali la kijinga sanaSo na wewe ni Chadema?
masikini mzee kazeeka hakuna anachokijua nchii hii zaidi ya chademaHaiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.
Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana kwa maisha ya Mtanzania ni nadra sana kwa Mzee mwenye zaidi ya miaka 80 kuwa na akili zote.
Vinginevyo akiendelea kutukana Chadema hatutamnyamazia tutamlipua na kiukweli hatutakuwa na MSWALIE MTUME, nina hakika hatotuweza zaidi ya kutuma Watekaji ili watuue kama alivyouawa Ally Kibao, Haiwezekani Mtu mzima kutwa kucha kushambulia Chadema kwa hoja duni na za kijinga huku Nchi ikikosa gloves na pamba za Wamama kujifungulia, Na bado Waziri wa Afya akifungua Makongamano kwa kiingereza cha Ugoko.
View attachment 3225956
Naomba Kuwasilisha.
Wewe, Mbowe, Wenje na Sugu maboss wenu huko CCM wanajulikana.Swali la kijinga sana
Atarusha ngumi 😅😊☺️Ameomba Mdahalo lakini, na Kwakuwa CHADEMA ni chama Cha DEMOKRASIA na maendeleo,
Apewe alichoomba,
Akisinzia Kwa KITI shauri yake
Huna hojaWewe, Mbowe, Wenje na Sugu maboss wenu huko CCM wanajulikana.
Huyu mzee keshazeeka hata kumbukumbu hana anajua hii bado ni Chadema ya enzi za lowassa iliyoitikisa CCM, kumbe ni Chadema iliyojifia haina impact yoyote kwenye ulingo wa siasa.Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.
Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana kwa maisha ya Mtanzania ni nadra sana kwa Mzee mwenye zaidi ya miaka 80 kuwa na akili zote.
Vinginevyo akiendelea kutukana Chadema hatutamnyamazia tutamlipua na kiukweli hatutakuwa na MSWALIE MTUME, nina hakika hatotuweza zaidi ya kutuma Watekaji ili watuue kama alivyouawa Ally Kibao, Haiwezekani Mtu mzima kutwa kucha kushambulia Chadema kwa hoja duni na za kijinga huku Nchi ikikosa gloves na pamba za Wamama kujifungulia, Na bado Waziri wa Afya akifungua Makongamano kwa kiingereza cha Ugoko.
View attachment 3225956
Naomba Kuwasilisha.
Hii iliyokufa ndio ile ambayo viongozi wake wanatekwa na kuuawa kama Soka na KibaoHuyu mzee keshazeeka hata kumbukumbu hana anajua hii bado ni Chadema ya enzi za lowassa iliyoitikisa CCM, kumbe ni Chadema iliyojifia haina impact yoyote kwenye ulingo wa siasa.
Kama kipara bila akiri nisawa kendeUnamuonya wewe ukiwa kama nani!
Chadema ingekuwa hai sidhani kama wanachama wake wangetekwa na kuuawa bila majibu. CCM wanaona ni chama kilichojifia hakiwezi kufanya chochote ndo maana wsnawafanyia chochote kama wanavyojisikia.Hii iliyokufa ndio ile ambayo viongozi wake wanatekwa na kuuawa kama Soka na Kibao
Laana ya Milele ikuandame wewe na Kizazi chako chote, AminaChadema ingekuwa hai sidhani kama wanachama wake wangetekwa na kuuawa bila majibu. CCM wanaona ni chama kilichojifia hakiwezi kufanya chochote ndo maana wsnawafanyia chochote kama wanavyojisikia.
Hali ya Afya ya Makamu Mwenyekiti wa CCM sio nzuri,tunaoma akapatiwe matibabuHaiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.