Pre GE2025 Steven Wassira aelimishwe kwamba majukumu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM siyo kutukana CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Afundishwe kwanza kuacha kusinzia 😂😂
Huyu asinzii Bali anauchapa kabisaa usingizi wa kutosha
20250205_165441.jpg
 
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.

Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana kwa maisha ya Mtanzania ni nadra sana kwa Mzee mwenye zaidi ya miaka 80 kuwa na akili zote.

SOma: Pre GE2025 - Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

Vinginevyo akiendelea kutukana Chadema hatutamnyamazia tutamlipua na kiukweli hatutakuwa na MSWALIE MTUME, nina hakika hatotuweza zaidi ya kutuma Watekaji ili watuue kama alivyouawa Ally Kibao, Haiwezekani Mtu mzima kutwa kucha kushambulia Chadema kwa hoja duni na za kijinga huku Nchi ikikosa gloves na pamba za Wamama kujifungulia, Na bado Waziri wa Afya akifungua Makongamano kwa kiingereza cha Ugoko.

View attachment 3225956

Naomba Kuwasilisha.
Mwenyekiti na makamu wote ni mabingwa wa kutumia vikali
 
Mmet6kqb

Mmetukanwa nini kondoo wa kafara?
 
Maskiniii! Yamewaingia? Tafuta archieve ya "tafiti" upate vikaratasi vya kutetea hoja zako. Maana ndio kwaaanza asubuhi!
 
Huyu mzee keshazeeka hata kumbukumbu hana anajua hii bado ni Chadema ya enzi za lowassa iliyoitikisa CCM, kumbe ni Chadema iliyojifia haina impact yoyote kwenye ulingo wa siasa.
Issue ni uzee? Tafuteni hoja, mnajua Wassira yupo na ataendelea kuwepo. Bora mje na point yenye mashiko. Leo mmefungua nyuzi 3 za Wasira 🤣🤣🤣🤣 na bado.
 
Mbona nyie machawa wa mbowe mlimtukana Lissu
 
Hilo zee kazi yake kulala na kujamba tu,aibu kubwa hii
 
Attachments

  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738771860075.jpg
    FB_IMG_1738771860075.jpg
    12.7 KB · Views: 1
Hiyo ndio kiboko ya Chadomo ambao walikuwa wanatumia matusi kama msingi wa hoja zao.

Sasa wamepata chuma
Kwa nini mmeoga matope??? Chawa Lucha wasaidie wenzako kujibu ..... Mlimaanisha nini kuoga na matope enyi chawa wachafu mliokosa ustaarsbu, akili na adili??? ADABU GANI HII KUOGA NA MATOPE?
 
Lissu, ameupata uenyekiti wa chadema kwa kutukana Mwenyekiti Mbowe na Samia
Unaweza ukaanisha hayo Matusi?
Na kama ni kweli aliwatukana unabianisha wazi kwamba Ccm imeunda serikali dhaifu zaidi duniani kwamba haiwezi kusimamia Sheria lilizotunga yenyewe!
Kwamba kutukana ni kosa la jinai na zipo Sheria ambazo zinakataza watu kutukana na CCM na serikali yake Ndio wamejipa dhamana ya kusimamia Sheria hizo! Hivyo kama lisu anaweza kutukana na asichukuliwe hatua yoyote na Bado yupo uraiani huoni kama Ccm Ndio dhaifu pamoja na mifumo ya serikali ambayo Wana dhamana ya kusimamia? Pathetic
 
Back
Top Bottom