Pre GE2025 Steven Wassira aelimishwe kwamba majukumu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM siyo kutukana CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ana mentality ya kuishambulia chadema kutwa nzima, akilala akiamka anachoona ni chadema tu. Hebu abadilishe mtazamo na namna ya kujibu hoja za chadema kwa mazingira ya sasa. Yuko nyuma ya wakati sana, anadhani huu wakati ni sawa na wakati ule siasa za vyama vingi vinaanza ccm walikuwa na vijembe na mipasho mingi kwa wapinzani
 
Aelimishwe
 
Kwa uzoefu wake wa siasa za vyama vingi ni kuhakikisha unawashambulia wapinzani kwa maneno mengi tena ya kejeli.
 
Mpaka oktoba tutaona mengi
 
Kwa uzoefu wake wa siasa za vyama vingi ni kuhakikisha unawashambulia wapinzani kwa maneno mengi tena ya kejeli.
Kazi ya kutukana ndio ameikimbia Kinana ikabidi atafutwe atakaeweza wote wakagoma kapelekewa Wasira kaikubari kwa hio ni azimio la chama na kazi yake aliyopewa na chama ni huo tu hakuna nyingine
 
"excessive daytime sleepiness"
 
Hao wazee sisiem ilizaliwa enzi zao wakiwa ni vijana kwahiyo kuiacha ni ngumu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahiyo ni Mzee mwenzao
 

anaiota chadema hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…