Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

shantao

Senior Member
Joined
Jun 1, 2023
Posts
110
Reaction score
185
Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu.

Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande wa pili aliweka duka la jumla (DEPO) kujumlisha soda, maji, mayai na baadhi ya vitu vidogo vya mahitaji ya nyumbani.

Wezi walivunja maduka yote mawili na ajabu ni kua walikaanga mayai tu wakala wakaondoka na hakuna kitu kingine chochote walichobeba sio pesa wala kifaa kingine chochote walichoiba..

STORI NYINGINE YA PILI..

Hii imetokea last week maeneo niliyopo Dsm.. wezi waliiba ng'ombe wakaichinja hapo hapo wakatoa nyama kila kitu wakaacha tu ngozi na kichwa.
​
 
Nakumbuka miaka ya mwishoni 1990’s wimbi la wizi wa majumbani lilikuwa limeshamiri sana Arusha, kipindi kile walikuwa wanatembea kundi la wezi Kati ya 40-50. Sasa wakawa wamevamia nyumba za jirani sisi tukawa tumeamka dingi hakuwepo alikuwa safari, kijana mkubwa aliyekuwepo alikuwa ni baba mdogo (RIP) kipindi hicho alikuwa Anasoma kidato cha sita. sasa katika kutaharuki akawa anawasha na kuzima taa za nje kama kuwaonesha kuwa tuko macho. Hatimaye wezi walitufikia wakawa nje wanasema Tina ametuambia Deo yuko ndani kwa hiyo tufungue wamchukue Deo, walikuwa wanamaanisha antena imetuonesha ndani kuna Video (Television). Kipindi kile mama (RIP) alikuwa mgonjwa mno wa kubeba są zile purukushani tulimbeba na kumleta sebuleni, tulikuwa wengi sababu ilkuwa wakati wa likizo ya mwezi July watoto wote sita tulikuwepo na watoto wa ndugu waliokuwa wnasoma mikoa ya jirani walikuwepo tulkuwa ka 13-15 hivi wote watoto watoto. Mama akatuambia tufungue mlango sababu watavunja tu wataingia…. Mlango ulifunguliwa wakaingia bhana jamaa wa kwanza akauliza nani alikuwa anawasha taa na kuzima?? Atueleze alikuwa anawasha indicator nyumba inakata kona kuelekea wapi?? Wote tulijikuta tumecheka tukawaonesha asee alichezea kichapo, wakabeba tv, radio na wakaingia kwa chumbani kwa wazazi wakabeba mabriefcase ya mzee sijui walifkiri kuna hela…….. wakatuambia hawajatupiga wala kutukata mapanga sbb Baba yenu ni mtu mwema amenunua jezi na mipira 2 ya timu ya mtaani. Ila wamempiga Baba yetu mdg sbb ya kiherehere chake.
Mwisho wa siku tuliwahisi sababu baadhi ya sauti tulizijua na kitendo cha kujua yule ni baba yetu mdogo tulihisi sio watu wa mbali, baada ya kuondoka mama alitukataza tusiseme popote kuwa tumewajua au tumewahisi tukae kimya.
Iła mwisho wa siku life liliendelea wale tuliowahisi wengine walifariki,kufungwa nk ila yule aliekuwa anaongea bado yuko ila kachoka mno na limguu lake limevimba anatia huruma mno! Mwaka jana nlienda likizo nkakutana nae anaomba nimtoe lock nilimnunulia Kvant ndogo ila nilimchana ukweli lile dukuduku langu la miaka mingi nkalitoa
 
Chai
 
Nakumbuka ilikuwa 2015, Nilikuwa nimetoka kutafuta msosi kama saa 5 usiku hivi sasa njiani nikaona kitu kikiwaka kwenye majani pembezoni mwa njia, ikabidi nisogee kujua ni nini. Nafika kwenye majani naona mfuko,simu ndogo pamoja na begi la mgongoni katikati ya majani(Vimefichwa).

Sijui niliwaza nini nikavibeba mpaka gheto.Kufika nikuta mlango upo wazi na kitasa kimechezewa,kuingia ndani siioni TV mezani 😂😂😂. Mapigo ya moyo yakasimama,Nguvu zikaniisha. Akili inakuja kukaa sawa nifungue ule mfuko wenye Dude silijui kupoza machungu nakutana na TV Yangu mule ndani. Na uchungu wote lakini nilijikuta nacheka sanaa.

Hili tukio sitolisahau na ile TV nimeihifadhi hadi leo😂😂😂
 
🤣🤣 duuuh na baada ya kumchana hakusema chochote kaka
 
Haahhaha atakua alivificha aje avipitie
 
Back
Top Bottom