Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Kheee..!! Kupokea HI wakati sijui inatoka wapi wallah ngumu..!! Kuna majini ujuwe..!! Mambo ya kupewa hi na majini we kuweza?
Chizi karogwa tena ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ muulize Peterrabbit huyo ndiyo kanituma. Huenda ndiyo jini lenyewe...
Halafu nataka kupingua urafiki, ila kwanza nikunyweshe dawa ya kusahau, mambo yote ya nyuma. Una siri zangu nyingi na nzito. Nazipoteza kwanza Ngalikihinja
 
Daaa Msameheni kwa kweli, maisha magumu hivi ni dawa tosha, bado na dawa nyingine tena ๐Ÿ˜…

๐Ÿฅ•๐Ÿ‡
 
Back
Top Bottom