Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Huwa tuna tabia ya kujishtukia, ndy maana tunamsemo wetu wenye kwamba "Inuka usemwe"

Kwaiyo ili usisemwe inabidi ukaee hapo hapo mpaka mwisho wa nongwa...
 
ilo niliwahi kulifanyia uchunguzi, urafiki baina ya wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawe, wa wanaume unadumu miaka yote labda mje kuzinguana kwenye masuala ya pesa ila mtanuniana baada ya muda maisha yanaendelea,

wanawake urafiki wao uwa hauchukui round coz kila mtu anajiona ni fahari zaid ya mwingine. akiona mwenzio kapendeza, amenawiri ama ameolewa bas chuki ata salamu anakata, ila sio wote
 
Back
Top Bottom