Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Mzee kwahyo unapinga yote hayo nliyotaja Quran iliyosema kuhusu Yule nabii shoga Alexander The great?
 
Mzee kwahyo unapinga yote hayo nliyotaja Quran iliyosema kuhusu Yule nabii shoga Alexander The great?
Dah mkuu katika mitume ya Allah hayupo Alexander the great kama yupo thibitisha alafu tena ni shoga pia hamwamini huyo Allah ni ajabu juu ya ajabu , mimi nahisi una fananisha ila hakuna mwenye jina na wasifu huo
 
Tafadhali fafanua zaidi kuhusu ahadi Allah ya mabikira 72 kwa kila mwanaume akhera.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Tafadhali fafanua zaidi kuhusu ahadi Allah ya mabikira 72 kwa kila mwanaume akhera.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mkuu hyo
Tafadhali fafanua zaidi kuhusu ahadi Allah ya mabikira 72 kwa kila mwanaume akhera.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
mkuu hyo sio ngano wala chai, for those believers and muumin watapewa hao virgins kwa idadi kulingana na daraja zao hapo ni baada ya kuingia peponi na hao mabint wana sifa kubwa kwa mujibu wa Allah mwenyewe note hawajawahi kutuliwa hata na nzi au sisimizi, fanya mema mkuu utawapata
 
Dah mkuu katika mitume ya Allah hayupo Alexander the great kama yupo thibitisha alafu tena ni shoga pia hamwamini huyo Allah ni ajabu juu ya ajabu , mimi nahisi una fananisha ila hakuna mwenye jina na wasifu huo
Yupo si ndo Quran inasema aliyeona jua linazama kwenye matope.
Sarafu zake zilikuwa Na picha yake akiwa Na mapembe ndo maana kulwani ilimwita dhul qarnayn yaani mtu mwenye mapembe
 
Na wanawake wameahidiwa nini!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Huwa una strong astral body projection kazana na meditation utakuwa mzoefu na utajua namna ya kujicontrol
 
Muhammad alimchukuaje Zainab bint Jahsh kuwa mke wake kutoka kwa mume wake?
Duuh hyo ni bibilia mkuu siyo quraan karI'm, maana bibilia inasema waziwazi ibrahimu ni mzinifu, samsoni naye mtu wa mademu alafu hao ndio wabarikiwa na mungu , ktk quraan hakuna hizo ngano
 
Huwa najiuliza kwanini kanisa katoliki linaweka picha ya Cesar Borgia na kutudanganya kuwa ni picha ya Yesu. Mbaya zaidi hiyo picha ina makando kando yenye utata sana ndani yake. Yani Da Vinc' ambaye ni mwanaume na huyo jamaa ambaye ni mwanaume urafiki wao ulikuwaje hadi akaishia kumchora Borgia na kumfananisha na Yesu?

Mambo ni mengi. Halafu tunaambiwa papa Alexander alikuwa na mtoto ambaye ni huyo Borgia. Je mapapa wa katoliki huko zamani walikuwa wanaoa na kuzaa? Nini kilifanya baadaye kanisa libatilishe huo utatatibu?
 
Thibitisha maneno haya mkuu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya Allah na Mungu yupi mkubwa!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Story ya Devi kumkalisha Goliath in a single combat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nishajiulizaga sana hapa
 
Quran ilishushwa na Allah.
Quran imeandikwa kwa lugha ya kiarabu.
Maswali:
1. Allah ni mwarabu?
2. Allah aliwaandikia quran waarabu tu?
3. Allah alijua wanaume tunahitaji mabikira sana mpaka akatuahidi mabikira 72, kwa akiki ya kawaida tu, hii inamake sense kweli? Wanawake wamahifiwa nini akhera

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
1) Allah syo muarabu na hana mfanano was kitu chochote tuki onacho kwa macho wala kufikirika
2) hapana , quraan kwa watu wote hata warusi pia, note ALLAH ana vitabu vinne vitukufu ie TORATI, INJILI, ZABURI na QURAAN nafikiri unajua mUSA , daud, issa si waarabu ni waislael
3) ndio , kama hupendi mambo yetu " watoto wazuri " jitathmini ila kwa halali , mwezako kesha jiuzuru kitambo maana alimpa kiss assistant wake na akasahau social distance, kama angekua hapendi totoz yasinge mkuta so totoz kwa wanaume ni uji kwa mtoto
 
Yupo si ndo Quran inasema aliyeona jua linazama kwenye matope.
Sarafu zake zilikuwa Na picha yake akiwa Na mapembe ndo maana kulwani ilimwita dhul qarnayn yaani mtu mwenye mapembeView attachment 1831380
Mkuu citizen b una akili sana za ku Google ila huna akili za kufikiri , wala kuchakata walau ka msamiati ki dogo tu ngoja nikupe shule ya vidudu bureeeeeee sitaki hata mia yako ,

1) mtu akisema raisi Obama ni kama nyerere , je hapo ni mtu mmoja au watu wawili tofauti? , hebu nijibu ha iitaji IQ kubwa kuelewa mwanangu anajibu hili swali ila wewe ha ha ha

2) Alexander the great hyo ni mzungu Na kama skosei ni mtala wa kirumi Na ktk quraan hakuna mtume mzungu Na kama yupo thibitisha

Note dhurqarnan ktk quraan yupo Na kwa taarifa yako syo mtume ni mcha mung tu mwenye ufalme Na maono ya mungu mmoja , Na kuhusu matope Mkuu citizen b came on mbona una low IQ namna hii

Hicho ni kisa kina simuliwa ktk quraan juu ya matembezi ya bwana dhurqarnan Na hio ni madhari Na jiografia ya hapo niku ulize swali moja ikiwa unasafiri kwa miguu au basiwakati wa jua kali sna barabarani utaona maji au madimbwi ya maji barabarani ila ukweli ni kwamba hajaona maji ila ni (mazigazi ) some last sayansi la tano b
 
Sarafu zake kuwa na pembe inamfanya yeye kuwa mtu mwenye pembe?
Yupo si ndo Quran inasema aliyeona jua linazama kwenye matope.
Sarafu zake zilikuwa Na picha yake akiwa Na mapembe ndo maana kulwani ilimwita dhul qarnayn yaani mtu mwenye mapembeView attachment 1831380
 
Ukristo na Uislamu umesambaa duniani kote,sio Africa pekee
Bado Kuna watu toka Huku Afrika wenye akili timamu kabisa wanaziamini hizo ngano za na hekaya za wayahudi,wayunani na waarabu wa middle east?

Tuna safari ndefu Sana kujikomboa kifikra ndugu zanguni!
 
Tumepigwa mchana kweupeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…