Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,718
- 3,471
Adam kwa miaka yake hyo alizaa watoto wengi sana na hakuzaa na Haea pekee, aliishi miaka kama 900 hivi ambayo ni mingi sana na kwetu sisi ni vizazi kwa vizazi, na apo bado alizaa na watoto wake wengi kulingana na tetesi, na apo mwanzo undugu ulikuwa ni kama haupoKwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Hao Abel na Keini walikuwa ni moja ya watoto tu
Kulingana na maandiko, na enz zile walikuwa wanazaa kwelii, hakuna kumwaga nje