Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
ni kweli mkuu, nashangaaga sana mtu unamuomba uthibitisho kama kweli quruan ni kitabu cha mungu yeye anakufungulia haya za hiyo hiyo quruan,.Mkuu hivi unawezaje kumthibitishia mtu kuwa hapa duniani kuna Spiderman au aliwahi kuwepo Spiderman kwa kumuwekea CD ya movie ya Spiderman?? [emoji13][emoji13][emoji13]
Yaani mtu amekuuliza "hivi unaweza kuthibitisha kweli Tazani aliwahi kuwepo?" Wewe unamwambia ndio nakuthibitishia kwa kukuwekea movie ya Tazani uangalie pale kwenye dakika ya 20: sekunde ya 42 ya movie ile utapata uthibitisho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani mtu anakwambia biblia imeandikwa na watu tu, sio neno la Mungu. Na huyo Mungu anayesemwa ni wa uongo hayupo, wewe unamwambia nakuthibitishia kwa kukufungulia biblia hiyo hiyo Yohana 3:16[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu akikwambia soma vitabu vingine vya kihistoria, fanya utafiti wa kina ujue kama yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu ni ya kweli wewe unasema ukweli wake upo ndani ya hivyo hivyo vitabu, hutaki kusoma vingine[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani waafrika sijui akili yetu imefunguwa wapi!!! We ñeed to change. Tutafute ukweli, na ukweli uko wazi kabisa na ushahidi unaoshikika kabisa kuwa dini ni uongo na yaliyoandikwa mengi hayakuwahi kutokea. ukisoma vitabu vingi utajionea pasi na shaka kabisa.
Mbingu na Jehanam havipo sehem yoyote ile bali kwenye ubongo wa waumini.
dunia yenyewe hazitambui hizi dini,.