Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16231833905398068.jpg
 
Hujathibitisha nililo kuuliza.

Nalusaidia kwa swali lako rahisi sana. Naizungumzia Qur'aan.

Mtume alikuwa ni katika Waarabu,na ndiyo maana Qur'aan imetermshwa kwa lugha ya Kiarabu.

Kisha ikawafikia wasio kuwa Waarabu sababu ni ujumbe kwa walimwengu wote.

Mola akajaalia ukijifunza jambo unalijua hata kama si la lugha yako. Watu wakafundishwa lugha ya Kiarabu na wakaelewa. Leo hii ukienda bara la arabu au ukisoma historia ya wajuzi wa kiarabu kiasili si Waarabu.

Sasa usiwe mjinga kukataa jambo usilo kuwa na elimu nalo.

Hakuna aliye zaliwa anajua,hata wewe bila kufindishwa leo hii usingejua kusoma wala kuandika,yaani ungebweteka.

Sasa nataka uthibitishe ya kuwa Qur'aan imeandikwa yaani imetungwa ba Mwanadamu.
Acha umbumbumbu wewe

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mimi naamini yesu alitengeneza balimi (divai) tena ndo miracle ya kwanza kwenye kitabu cha Yohana, tuje kwa mzee baba Timotheo alipooiga konyagi ndogo (kischana) (divai) ili ajiponye na magonjwa ya yayomsumbua. Mengine watajua wao😏😏😃😃
Aliishi kwa mamake,,kazi ya mamake ilikua ni kuuza mvinyo kwenye sherehe mfano harusi,birthday etc,mzee joseph alukua ameshafariki,hivyo alikua akimsaidia mamake kwa kazi hizo,mvinyo ukiisha ilikuwa jukumu lake kufuata magudulia ya mvinyo nyumbani
 
Quran tu ndo kitabu pekee kinachoeleweka na hakina shaka kabisa.
Tena Quran ndo imejaa uharo mtupu. Kwanza mnadai quran ilishushwa wakati bwana Mohamed ndo alikuwa akipandwa na mashetani anawahadithia wanaojua kuandika wao wanaandika.

Sasa je, ikiwa nabii wa Mwenyezi Mungu (Mohamed) alikuwa asiyejua kusoma na kuandika kabisa, Je! Muhammad aliweza vipi kudhibitisha kwamba wale ambao walikuwa wanaandika kile alichokuwa akiwaamuru walikuwa wakiandika maneno yake halisi, angewezaje kujua kama waandishi walikuwa hawaandiki tu chochote wanachotaka kuandika wao? Hii inatuonesha wazi kuwa quran iliandikwa na watu, tena bila kuwa na uhakika kama kinachoandikwa ndicho chenyewe. Mkome kuwadanganya watu quran imeshushwa.

Hivi vitabu vyote vya dini yaani biblia na quran ni wizi mtupu na ni kazi ya watu. Nitaendelea tu kuwachambulia
 
Back
Top Bottom