Thibitisha kama ni ngano.Luka 1:1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kama ni ngano.Luka 1:1.
Circular reasoningPinga kwa hoja usilete utoto katika mambo ya kielimu.
Amesema Allah muumba wa mbingu na ardhi.
Allah anasema :
1. Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.(an-Nisaa : 2)
Akasema tena :
47. Enyi mlio pewa Kitabu! Aminini tuliyo yateremsha yenye kusadikisha yale mliyo nayo, kabla hatujazigeuza nyuso tukazipeleka kisogoni, au tukawalaani kama tulivyo walaani watu wa Sabato (Jumaamosi). Na amri ya Mwenyezi Mungu ni lazima ifanyike. (an-Nisaa : 47)
Unahoja ya kukataa kwamba siyo ujumbe kwa watu wote ?
Ukisoma hiyo inajidhibitisha,,lakini kuna ushahidi mwingi sana,unahitaji mda,,lakini pia sipendi kuvuruga imani yakoThibitisha kama ni ngano.
Many people including you don't understand why God sent his Son Jesus Christ to die for our sins.Mimi hii kitu ndo haijawahi nikaa kabisa!! Hapa tumepigwa sana kwenye hizi dini. Ukweli lazima usemweView attachment 1825278
Mkuu hivi unawezaje kumthibitishia mtu kuwa hapa duniani kuna Spiderman au aliwahi kuwepo Spiderman kwa kumuwekea CD ya movie ya Spiderman?? [emoji13][emoji13][emoji13]Many people including you don't understand why God sent his Son Jesus Christ to die for our sins.
But I guarantee you that there is a day this unconditional love of GOD will be revealed to you and that day you'll fully comprehend the motive behind the death of Jesus Christ.
Na amini nakwambia, siku hiyo utaomba msamaha huku ukilia na kusaga meno kwa kosa lako la "kumdhihaki MUNGU".
Imeandikwa, "MUNGU hadhihakiwi". Shauri yako.
Kama kuna mtu amekuambia kuwa Quran inasema jua linazama kwenye tope basi amekudanganya kama vile ulivyodanganywa kuwa Yesu ni MunguHakuna kitabu chenye glinches kama quran, nyie si ndo mnosena jua huchomoza na kuzama kwenye tope
Kazi yangu nimemaliza.Circular reasoning
Ukipata muda nistue.Ukisoma hiyo inajidhibitisha,,lakini kuna ushahidi mwingi sana,unahitaji mda,,lakini pia sipendi kuvuruga imani yako
Duuuuh km hii ndio akili yko basi tuishie hapaSijui ni Samaki gani. Jenga hoja yako sasa.
Maana kuna maswali ya kipuuzi watu wanauliza,kiasi ambacho hayabadilishi chochote katika tukio zima. Ni sawa uulize wale mbwa walio kiwa pamoja na vijana wa pangoni,walikuwa majike au madume au mchanganyiko. Maswali ya kipuuzi sana.
Shukrani. Tuko pamoja.Duuuuh km hii ndio akili yko basi tuishie hapa
Kwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Ni zero IQ mkuu msamehe tuUmekurupuka
Wewe jamaa siyo mzima wallahi... eti tupigane ngwara!!Kuna yule baharia alitaka kusababisha wenzake wafe kwa meli wakamtupa baharini akamezwa na samaki siku 3 halafu akatemwa kule alipotakiwa kwenda ambapo alikuwa hataki na aliagizwa na Mungu..[emoji1787][emoji1787]
Haikutosha vipi kwa mose ati alitawanya bahari waisraeli wakapita!.. nilipopenda zaidi ati shetani alienda mbinguni kuongea na Mungu ili amjaribu yule msela aliepewa mapunye mwili mzima,utajiri wake ukapotea,familia yake ikafa! How can it be wengine wafe kisa kujaribiwa kwa mtu mmoja!![emoji3]
Vipi kuhusu Israel ati alipigana na malaika usiku kucha mwisho wa siku malaika akaamua amtengue nyonga yakobo..[emoji1787] jamani kama ni kupima uwezo Mungu si anajua uwezo wa kila mtu Sasa vipi kutumiana malaika waje tupigane nao ngwara..??[emoji23]
Tuachane na yote ati Adam na Eva walipokula tunda Mungu alipokuja akaanza kuwauliza ati nani kawaambia wapo uchi baada ya kula tunda!.. wakati huohuo tunaambiwa Mungu anayajua yote mwanzo Hadi mwisho sasa alikasirika nini na wakati alikuwa anajua kila kitu!
Alimuumba shetani huku akijua ya kuwa atakuja msaliti..[emoji1787] what a movie..??
Kasome utaonaWewe jamaa siyo mzima wallahi... eti tupigane ngwara!!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
inashangaza Sana mkuu yaani waafrika Bado wamefungwa kifikra ndugu,hawahoji,hawasomi,Mkuu hivi unawezaje kumthibitishia mtu kuwa hapa duniani kuna Spiderman au aliwahi kuwepo Spiderman kwa kumuwekea CD ya movie ya Spiderman?? [emoji13][emoji13][emoji13]
Yaani mtu amekuuliza "hivi unaweza kuthibitisha kweli Tazani aliwahi kuwepo?" Wewe unamwambia ndio nakuthibitishia kwa kukuwekea movie ya Tazani uangalie pale kwenye dakika ya 20: sekunde ya 42 ya movie ile utapata uthibitisho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani mtu anakwambia biblia imeandikwa na watu tu, sio neno la Mungu. Na huyo Mungu anayesemwa ni wa uongo hayupo, wewe unamwambia nakuthibitishia kwa kukufungulia biblia hiyo hiyo Yohana 3:16[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu akikwambia soma vitabu vingine vya kihistoria, fanya utafiti wa kina ujue kama yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu ni ya kweli wewe unasema ukweli wake upo ndani ya hivyo hivyo vitabu, hutaki kusoma vingine[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani waafrika sijui akili yetu imefunguwa wapi!!! We ñeed to change. Tutafute ukweli, na ukweli uko wazi kabisa na ushahidi unaoshikika kabisa kuwa dini ni uongo na yaliyoandikwa mengi hayakuwahi kutokea. ukisoma vitabu vingi utajionea pasi na shaka kabisa.
Mbingu na Jehanam havipo sehem yoyote ile bali kwenye ubongo wa waumini.
Naomba nikujibu swali lako kama ifuatavyo.
1, kabla ya kuwepo au kuumbwa kwa adamu mbinguni kulitokea vurugu ambayo majeshi ya malaika yalijigawa, robo tatu ya malaika yakawa upande wa shetani ambaye alitaka kuweka mapinduzi mbinguni na robo iliyo bakia ikabaki upande wa Mungu na mda ambao mapinduzi ya shetani kutaka kuchukua kiti cha Mungu ndo mda ambao Mungu alikuwa yupo duniani kuumba yaani kuyagawanya maji, n.k
Hivyo lile kundi lililo mfuata shetani lilishushwa duniani ila Adamu na eva walifichwa katika bustani ya edeni, na baada ya kutenda dhambi alitoka nje ya bustani na kujitengenezea majani ya miti kama kujistili kutokana na walijiona wapo uji, na kama wewe ni msomaji mzuri wa bible kuna pahara Mungu anauliza Adamu upo wapi, maana kwenye bustani hakuwepo.
Kwa hiyo Kaini alienda kuoa majitu yale ambayo ni malaika waasi kutoka mbinguni na majitu hayo nadhani ndio wa Nefili ambao Mungu aliwaonya kuwa wanadamu wasichangamane na hao majitu wa kuoa / kuolewa.
kama kuna swali nakaribisha