Nick girland
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 291
- 200
Mimi naamini katika birika iliyopo kwenye jua na ndiyo iliyoumba dunia na vyote vilivyomo. Nakusihi ndugu achana na imani yako potofu bila hivyo mungu wangu birika atakuchoma moto maisha yako yote.Sawa hata kama nimeipokea basi nimeisha i customize na kuwa yangu na zaidi ya yote, naiamini kuwa ni IMANI yangu sahihi na kuwa Yesu Kristo aliye HAI nai Mwokozi wangu. Vipi hapo UTAKEREKA ZAIDI au vipi?!
Haiwezekani vipi?,sinai ndo hspohapo mpakani na israel,ni sawa na kusema sirari boarder na isibania,,hata mtoto wa miaka 3 anatembea tu..Mh ila kumbuka kabla ya hiyo miaka walifanya uchunguzi mara mbili na kuona kwamba haiwezekani kwenda moja kwa moja
Hakieleweki ndo maaana hatuchangiiQuran tu ndo kitabu pekee kinachoeleweka na hakina shaka kabisa.
😀😃😃😃😜😜Mimi naamini katika birika iliyopo kwenye jua na ndiyo iliyoumba dunia na vyote vilivyomo. Nakusihi ndugu achana na imani yako potofu bila hivyo mungu wangu birika atakuchoma moto maisha yako yote.
Wasema wewe kwa vile ndivyo ulivyoandikaWasema wewe kwa vile unayo haki ya mawazo na kuhukumu kadri ya mawazo yako au utashi wako. Hongera kwa hilo kwani umetimiza matakwa ya aliyekutuma na anayekuendesha.
Stori ya Kisisina.Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho.Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia.Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu.
Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini YAKO?
Kwa hiyo Elungata unachotaka kusema NI NINI? Hebu fafanua!Haiwezekani vipi?,sinai ndo hspohapo mpakani na israel,ni sawa na kusema sirari boarder na isibania,,hata mtoto wa miaka 3 anatembea tu..
Isitoshe kipindi hicho caanan ilikuwa chini ya Ancient Egypt kingdom..
No Signal naye kaleta la kwake, hebu wanaokifahamu Kitabu hicho wachangie nasi tupate elimu dunia na elimu ahera leo1Quran tu ndo kitabu pekee kinachoeleweka na hakina shaka kabisa.
WHAT!?Wasema wewe kwa vile ndivyo ulivyoandika
Ishu ya moses ni ngano,,uhalisi ni kuwa kipindi kinachozungumzwa,misri ilikuwa ikitawala mpaka caanan,influence ya misri ilikuja kupunguzwa kipindi cha ArmanaKwa hiyo Elungata unachotaka kusema NI NINI? Hebu fafanua!
Hapa unataka kudanganya umma wa JF! Historia ya dunia haisemi hivyo ila ni wewe ndiyo unawaza hilo, siyo historia.Ishu ya moses ni ngano,,uhalisi ni kuwa kipindi kinachozungumzwa,misri ilikuwa ikitawala mpaka caanan,influence ya misri ilikuja kupunguzwa kipindi cha Armana
Hapa unataka kudanganya umma wa JF! Historia ya dunia haisemi hivyo ila ni wewe ndiyo unawaza hilo, siyo historia.
Sasa nimekuelewa! Una amini sana wana historia kiasi kwamba anything in the Holy Bible, kwako ni ngano! Hapa ni suala la imani, endelea na imani yako ya kuamini wana historia na mimi niendelee na kukiamini Kitabu Kitakatifu, BIBLIA. Kila la heri!
Naamini sana history,uko sawa..Sasa nimekuelewa! Una amini sana wana historia kiasi kwamba anything in the Holy Bible, kwako ni ngano! Hapa ni suala la imani, endelea na imani yako ya kuamini wana historia na mimi niendelee na kukiamini Kitabu Kitakatifu, BIBLIA. Kila la heri!