Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Sawa hata kama nimeipokea basi nimeisha i customize na kuwa yangu na zaidi ya yote, naiamini kuwa ni IMANI yangu sahihi na kuwa Yesu Kristo aliye HAI nai Mwokozi wangu. Vipi hapo UTAKEREKA ZAIDI au vipi?!
Mimi naamini katika birika iliyopo kwenye jua na ndiyo iliyoumba dunia na vyote vilivyomo. Nakusihi ndugu achana na imani yako potofu bila hivyo mungu wangu birika atakuchoma moto maisha yako yote.
 
Mh ila kumbuka kabla ya hiyo miaka walifanya uchunguzi mara mbili na kuona kwamba haiwezekani kwenda moja kwa moja
Haiwezekani vipi?,sinai ndo hspohapo mpakani na israel,ni sawa na kusema sirari boarder na isibania,,hata mtoto wa miaka 3 anatembea tu..
Isitoshe kipindi hicho caanan ilikuwa chini ya Ancient Egypt kingdom..
 
Mimi naamini katika birika iliyopo kwenye jua na ndiyo iliyoumba dunia na vyote vilivyomo. Nakusihi ndugu achana na imani yako potofu bila hivyo mungu wangu birika atakuchoma moto maisha yako yote.
😀😃😃😃😜😜
 
Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho.Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia.Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu.

Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini YAKO?
Stori ya Kisisina.
 
Haiwezekani vipi?,sinai ndo hspohapo mpakani na israel,ni sawa na kusema sirari boarder na isibania,,hata mtoto wa miaka 3 anatembea tu..
Isitoshe kipindi hicho caanan ilikuwa chini ya Ancient Egypt kingdom..
Kwa hiyo Elungata unachotaka kusema NI NINI? Hebu fafanua!
 
Ishu ya moses ni ngano,,uhalisi ni kuwa kipindi kinachozungumzwa,misri ilikuwa ikitawala mpaka caanan,influence ya misri ilikuja kupunguzwa kipindi cha Armana
Hapa unataka kudanganya umma wa JF! Historia ya dunia haisemi hivyo ila ni wewe ndiyo unawaza hilo, siyo historia.
 
Hapa unataka kudanganya umma wa JF! Historia ya dunia haisemi hivyo ila ni wewe ndiyo unawaza hilo, siyo historia.
Screenshot_20210701-144330.png
 
New Egypt kingdom provinces included
Amurru
Caanan
Hatti
 
Sarah kubeba mimba akiwa na miaka 90's

Virgin Mary kubeba mimba bila kuingiliwa wakati huo huo alikuwa na boyfriend (Yusuph)

Yesu kumfufua Lazaro ambae alikuwa amekufa hadi kufikia hatua ameshaoza na ananuka

Zipo nyingi tu kwakweli naona nyingine zimeshatajwa....
 
Sio ngano ila mifano migumu.

Eg. Lile tunda la mti wa katikati. Ni tunda kweli na je kwa nini huo mti haujulikani mpaka leo.
 
Back
Top Bottom