Nick girland
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 291
- 200
Mimi naamini katika birika iliyopo kwenye jua na ndiyo iliyoumba dunia na vyote vilivyomo. Nakusihi ndugu achana na imani yako potofu bila hivyo mungu wangu birika atakuchoma moto maisha yako yote.Sawa hata kama nimeipokea basi nimeisha i customize na kuwa yangu na zaidi ya yote, naiamini kuwa ni IMANI yangu sahihi na kuwa Yesu Kristo aliye HAI nai Mwokozi wangu. Vipi hapo UTAKEREKA ZAIDI au vipi?!