Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Naam nimewhi kujifunza na nyie ilikua miaka ya 2000s
 
Kwamba Muddy hakua anajua kusoma so alikaririshwa na alikariri bila kukosea 100%[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Vitu Biblia haijaandika kwa sababu yako Binadamu, japo leo Kile Biblia ilificha Binadamu wanajifunza kwa njia nyingine!

Kabla ya Adam na Eva, kulikua na Binadamu wanaishi, na maisha yanaenda kama kawaida, ila mpango wa Mungu ukaanza na Adam na Eva.

Biblia imegusia kidogo juu ya Fallen Angels kkushuka na kuwafundisha Binadamu elimu ambazo hawakupaswa kuzijua, japo Biblia ilitambua lakini haikutaka kuelezea kwa sababu yako Binadamu.

Leo hata hapa JF watu wanafundishana Kutoka nje ya Mwili (Astra projection) yani kutembea kwenye Ulimwengu wa Roho!

Tunajua kwenye Ulimwengu wa Roho, Wachawi, Waganga na Wachungaji wa kweli (Kupitia holy spirity)
Wanatumia Ulimwengu huu kufanya kazi ama za Shetani ama za Mungu!

Matokeo yake mtu anajifunza hapa, anaanza kuzurura kwenye Ulimwengu wa roho akiwa hana Nguvu yoyote, Sio Mchawi, Sio Mganga wala sio Mchungaji, Ukikutana na Spirit za Wazee wa Ngwasuma huko! Inakua imeisha, umefungua mlango usioweza kuufunga!
 
Kitabu cha Mwanzo kinasimulia hadithi ya uumbaji chronologically mkuu. Kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu bahari n.k mpaka alipoumbwa mtu (Adam) na kisha Hawa.

Sasa wewe kusema kuwa kulikuwa na watu wengine kabla unapingana na biblia maana inasema hapo mwanzo palikuwa tupu (yaani hapakuwa na kitu) hata dunia yenyewe haikuwepo. Je kama haikuwepo dunia hao unaosema walikuwepo walikuwa wapi?

Nijibu mkuu
 
Ukitaka kujua kabla ya Adam na Eva kulikua na Maisha yanaendelea rejea kisa cha Kaini pale anapowekewa alama kwenye paji la uso na Mungu na kulaaniwa.

Anamwambia Mungu huko ninapokwenda Watu wakiniona Wataniua... Ni watu gani hao ambao wangemuua!? Wakati yy ni kizazi cha pili baada ya Adamu na Eva!?

Biblia imeelezea vitu muhimu tu kwa ajiri msaada wa kiroho kwa Bindamu, mambo mengi ambayo siyo msaada wa kiroho kwenye Biblia imeyaacha, ila utayakuta kwenye Vitabu vingine.

Ndo utagundua kwa nini baadhi ya Vitabu kama the Book of Enock viliondolewa toka kwenye Biblia!

So in shop mpango wa Mungu ulianza na Adam na Hawa, kama tunavyosoma kuhusu wana wa Israel na maisha yao, haimaanishi kipindi hicho huku Africa hakukua na Watu, watu walikuepo na maisha yaliendelea, ila mpango wa Mungu that time, ulikua juu ya Israel.
 
Mkuu ni sawa hicho ndio chanzo cha swali. Kuwa dunia na kila kitu kilianza kuumbwa siku ya kwanza ndio akaja umbwa Adam na Hawa.

Je wewe unasemaje walikuwepo watu wengine wakati inaelezwa Adam ndio mtu wa kwanza kuumbwa?
 
Ni kweli hata kabla ya kuumbwa eva kulikuwa na mwanamke kabla yake aliitwa lilith
 
daah Wewe kiumbe ikitokea tumekutana huko panapoitwa mbinguni Mimi nashuka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kumbe vitu vya kwenye biblia ni SAWA na vya kwenye Quran tunatofautiana lugha na mitazamo TU???????????????
 
Ni kweli hata kabla ya kuumbwa eva kulikuwa na mwanamke kabla yake aliitwa lilith
Kwanini biblia inasema hapakuwa na kitu na kuwa Adam ndio mtu wa kwanza kuumbwa?

Unataka kutuambia kiwa biblia ni kitabu cha kitapeli kinachotudanganya kuhusu Mungu?

Na je hiyo habari ya Lilith umeipata katika kitabu gani (chanzo gani)? Na je tuamini hicho chanzo au tuiamini biblia?
 
Torati=Nabii Musa Amani iwe Juu yake
Zaburi=Nabii Daud Amani iwe Juu yake
Injili=Yesu Amani iwe Juu yake
Quran=Mtume Muhammad Amani iwe Juu yake
Biblia=??? Alipewa mtume/Nabii gani na MwenyEnzi Mungu !
 
Henoko unamjua?
Nipe jibu nikuongeze maarifa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…