Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Wewe ulidanganywa au ulijidanganya nafsi yako kwa usilolijuwa.
Kwahiyo mtu akisoma hicho kitabu chako atakutana na mstari umeandikwa kuwa ilishushwa ndani ya muda wa miaka 23..?
 
Kwahiyo mtu akisoma hicho kitabu chako atakutana na mstari umeandikwa kuwa ilishushwa ndani ya muda wa miaka 23..?
Hapana. Waislam tuna Qur'an na tuna historia ya Uislam.

Umri wa Mtume Muhammad, Salla Allahu Alayhi Wasalaam, alipoanza kupokea aya za Qur'an alikuwa ana miaka 40 na amefariki ana miaka 63. Inakuwa mingapi hiyo? Simpo.
 
Attachments

  • Screenshot_20230327-140242_Chrome.jpg
    Screenshot_20230327-140242_Chrome.jpg
    141.3 KB · Views: 10
  • Screenshot_20230327-140221_Chrome.jpg
    Screenshot_20230327-140221_Chrome.jpg
    166.3 KB · Views: 9
Hapana. Waislam tuna Qur'an na tuna historia ya Uislam.

Umri wa Mtume Muhammad, Salla Allahu Alayhi Wasalaam, alipoanza kupokea aya za Qur'an alikuwa ana miaka 40 na amefariki ana miaka 63. Inakuwa mingapi hiyo? Simpo.
namaanisha nipate referrence ya kujua kuwa huyo mtu alianza kushukiwa na hayo maandishi from 40 to 63 yrs
 
Je ni kitabu gani kiaminike? Hicho cha Lilith au biblia?
Fungua akili mkuu.... Hii biblia kuna vitabu vimeondolewa ndo vinaleta nadharia nyingi ambazo zinaleta malumbano kwa mfano
1-Henoko
2-the book of juda
 
Story ya Yona mi nliipenda sana baada ya kugundua kuwa Yona aliona aende kule akale bata badal Ya kwenda mji aliyoagizwa.Umetumwa kibiti unaenda kidimbwi.
 
Kuna kitu huku si ewalagi inakuwaje mwanadamu anamtafiti Mungu wakati yeye amazaliwa kuna jua .usiku.na, mchana hufikirii kuwa Nani mwenye kumiliki??????
 
Je papa ndio anaeamua kitabu gani kiwepo na kisiwepo kwenye biblia? Vipi kuhusu wasabato, protestants n.k nao wanaamini story ya mwanzo au hii ya Lilith?
Papa ni kiongozi mkuu wa wakatholiki kama wewe sio mkatholiki muulize kiongozi wa dini yako
 
Najua. Kwahiyo biblia ya mkatoliki ina maelezo tofauti na ya msabato au mprotestant?
Uliniuliza Ishu ya vitabu gani vimeondolewa kwenye biblia nikakupa......unataka hoja ya nani mkatholiki na nani mprotestant sema
 
Uliniuliza Ishu ya vitabu gani vimeondolewa kwenye biblia nikakupa......unataka hoja ya nani mkatholiki na nani mprotestant sema
Nimekuuliza ni kwanini viliondolewa na je tumamini kipi? Mwanzo au hivyo vya Henoko n.k?
 
Back
Top Bottom