Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tuamini ndio ulichoshindwa kuelewa au unaleta janja janja tu?andika vizuri nmeshindwa kukuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuamini ndio ulichoshindwa kuelewa au unaleta janja janja tu?andika vizuri nmeshindwa kukuelewa
Nimekuuliza ni kwanini viliondolewa na je tumamini kipi? Mwanzo au hivyo vya Henoko n.k?
Kama unaniuliza ni kitabu kipi unatakiwa kukiamini nakushauri uamini kitabu cha "karudi baba mmoja toka safari ya mbali"coz mimi sio mwalimu wako wa diniTuamini ndio ulichoshindwa kuelewa au unaleta janja janja tu?
One man down. Kukosekana kwa hoja huleta viroja. Asante 🚮Kama unaniuliza ni kitabu kipi unatakiwa kukiamini nakushauri uamini kitabu cha "karudi baba mmoja toka safari ya mbali"coz mimi sio mwalimu wako wa dini
Vitabu umepewa unataka hoja gani.........kila mtu ana dini yake humu haiusiani na kusoma vitabu mbona uelewa wako mdogoOne man down. Kukosekana kwa hoja huleta viroja. Asante 🚮
Usichokijua dini yangu mimi kitabu chetu "karudi baba mmoja" na Sjavunja sheria ya nchi sasa wewe unataka kulazimisha niniOne man down. Kukosekana kwa hoja huleta viroja. Asante 🚮
Yes naamini 100% mkuu,kamuulize yule mmarekani Neil Armstrong au Edwin waliona nyufa kubwa huko mwezini kuashiria kuna Jambo liliwahitokea walipotembelea mwaka 1969
siraha = silahaMambo shetani mwenzangu..??
Hivi kabisa ati Israel ndo taifa la Mungu nilitegemea ndo litakuwa na amani ili liwe taifa la mfano hapa duniani lakini dogo tu kama Tanzania lina amani kushinda hata hilo taifa teule la Mungu!!..
Taifa gani la Mungu linanukia damu kiasi hicho..!
Mataifa yetu ya kiafrika yanaamini yanalindwa na Mungu lakini taifa teule la Mungu lina kila Aina ya siraha ya kujilinda!.. ifike hatua tuwe na akili kumkichwa!
Biblia inasema kama yote yangeandikwa basi vitabu vingekuwa vingi Sana jua biblia imeacha mengine in mengi Tu mfano Adam na ever waliandikwa kwa kuwa ni binadamunwa Kwanza lkn haina maana uumbaji uliisha Mwenyez Mungu aliendelea ndio mana kuna wachina na wengine tofauti tofauti na hao alioenda kukutana nao ndio gap wengine ambayo biblia iliwaaachaKwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Yohana 21;25...Biblia inasema kama yote yangeandikwa basi vitabu vingekuwa vingi Sana jua biblia imeacha mengine in mengi Tu mfano Adam na ever waliandikwa kwa kuwa ni binadamunwa Kwanza lkn haina maana uumbaji uliisha Mwenyez Mungu aliendelea ndio mana kuna wachina na wengine tofauti tofauti na hao alioenda kukutana nao ndio gap wengine ambayo biblia iliwaaacha
Je ni nani aliamua visiandikwe vyote? Na je vitabu vingekuwa vingi unadhani tungeshindwa kuvisoma vyote?Biblia inasema kama yote yangeandikwa basi vitabu vingekuwa vingi Sana jua biblia imeacha mengine in mengi Tu mfano Adam na ever waliandikwa kwa kuwa ni binadamunwa Kwanza lkn haina maana uumbaji uliisha Mwenyez Mungu aliendelea ndio mana kuna wachina na wengine tofauti tofauti na hao alioenda kukutana nao ndio gap wengine ambayo biblia iliwaaacha
Sasa Mungu kwanini awaletee viumbe wake ugumu wa kuelewa jambo analolikusudia kuwaambia?Biblia ukisoma nusu nusu hutoelewa milele hasa neno lenye uchaji wa Mungu halieleweki kwa wote. Mfano kuna watu wa itelejinsia humu huwasiliana kwa maandishi haya na wengi wetu hatujui wala kuelewa chochote, note that.
Kama sio mcha Mungu sahau kuhusu kuelewa Neno LA Mungu.
Yaani ukikaa ukatafakari kwa undani kabisa unagundua fix nyingi sana aise.Lakini hapo kwa mtiririko ni kuwa Adam alizaa wana na mabinti baadae maana unaona hapo ipo chapter 5 wakati Kaini kuogopa imetokea chapter 4.
Mtirirko haupo hapo.
Wenyewe watakuambia unakufuruYaani ukikaa ukatafakari kwa undani kabisa unagundua fix nyingi sana aise.
funguka zaid mkuuBiblia ukisoma nusu nusu hutoelewa milele hasa neno lenye uchaji wa Mungu halieleweki kwa wote. Mfano kuna watu wa itelejinsia humu huwasiliana kwa maandishi haya na wengi wetu hatujui wala kuelewa chochote, note that.
Kama sio mcha Mungu sahau kuhusu kuelewa Neno LA Mungu.
Kwani wapi kwenye Biblia kumeandikwa Adamu na Hawa walizaa watoto wawili tu? Ni kweli kwamba CKaini na Abeli ndio wanaotajwa sana kwenye Biblia. Lakini pia kuna mtoto mwingine anayetajwa akiitwa Seth. Kutokana na mfumo wa kianaume uliokuwepo, Biblia inataja watu kwa umaarufu waoKwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Wataalamu wa Dini wanasema zamani mtoto wa kike alikua haesabiwi ndani ya familiaKwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).
Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).
Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).
Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).
Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.
Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).
Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.
Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?
Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Mnatoa sababu za kitoto sana 🚮Kwani wapi kwenye Biblia kumeandikwa Adamu na Hawa walizaa watoto wawili tu? Ni kweli kwamba CKaini na Abeli ndio wanaotajwa sana kwenye Biblia. Lakini pia kuna mtoto mwingine anayetajwa akiitwa Seth. Kutokana na mfumo wa kianaume uliokuwepo, Biblia inataja watu kwa umaarufu wao