Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Attachments

  • Screenshot_20230327-132211_Chrome.jpg
    Screenshot_20230327-132211_Chrome.jpg
    47 KB · Views: 12
Binafsi kwenye kitabu cha dini yangu ya Kikristo, yaani BIBLIA TAKATIFU, sijawahi wala sitarajii kusikia Ngano humo ndani. Yote yaliyomo humo ni kweli tupu. Ni mafundisho ya kweli na ya UHALISIA.
Kwa hiyo unaamini kwenye familia mnaweza kubadilishana nafasi ya kuzaliwa yaani wa kwanza akawa wa pili? (Rejea story ya Yakobo na Essay)
 
Kwa akili yako kisoda hukujua adam alikua ana watoto zaid ya hao wawili na walikua wanaoana ndugu kwa ndugu
Nipe kifungu kuthibitisha kaini alimuoa ndugu yake. Maandiko yanasema alikimbilia mbali, huko mbali ni kwenye jamii nyingine tofauti na yao.
 
Binafsi kwenye kitabu cha dini yangu ya Kikristo, yaani BIBLIA TAKATIFU, sijawahi wala sitarajii kusikia Ngano humo ndani. Yote yaliyomo humo ni kweli tupu. Ni mafundisho ya kweli na ya UHALISIA.
Musa aliandikaje kifo chake kwenye kitabu chake??

#YNWA
 
Yote tumepigwa tu, yangekuwa ni ya mungu yangekuwa yanajulikana tu wazi wazi na isingetumika nguvu kubwa zaidi kuyaelewa

Ninapochoka zaidi ni pale nikisikia kuwa ili kuielewa biblia ni mpaka uwe na roho mtakatifu na hayuko kwa kila mtu kwahiyo siyo ya kila mtu wakati tumepewa akili tu ya kuelewa bila msaada wowote....! Ila hii dunia bwana, duuh!
 
Back
Top Bottom