Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Vita vyetu si kwa damu na nyama. Yaani hutakiwi kutumia nguvu au mwiliwako kabla hujashughulisha roho..Maombi mfano ukigombana na mtu hasira inapokujaa chuki ikidhidi unaweza kupigana naye Hapo utatumia nyama lakini ukipiga magoti nakuomba au ukamamehe kwa kumuonyesha upendo utakuwa umetumia roho mambo mengi maandalizi au maharibiko yanaanza kwenye fikra moyoni au mawazoni ambako hakuonekani huko ndio kwenye Vita halisi..angalia mspenzi yanayopelekea ngono raha ya tendo na maumivu ya kuachwa au raha ya upendo Ni tofauti hisia za ndani ndio kali zaidi kuliko mambo ya mwili
 
Mnatoa sababu za kitoto sana 🚮
Kuna utoto gani ninapokuambia kwenye Biblia anatajwa mtoto kufuatana na umaarufu aliofanya? Na hasa ni watoto wa kiume tu wanaotajwa sana. Kwa nini ung'ang'anie kwamba Adam na Hawa walizaa watoto wawili tu wakati Genesis 4: 25 inamtaja pia mtoto mwingine aliyekuwa akiitwa Seth? Kutajwa kwa watoto kunafuata tu umuhimu alioufanya mhusika.
Kwa mfano katika kutaja ukoo wa Yesu, Biblia inataja vizazi 14 kutoka Ibrahimu hadi Mfalme Daudi: Ibrahimu akamzaa Isaka; Izaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda; ...; Obed akamzaa, Jesse; Jesse akamzaa Mfalme Daudi. Kutoka Mfalme Daudi mpaka kuzaliwa Yesu Biblia inataja vizazi vingine 14: Daudi akamzaa Solomon; Solomon akamzaa Rehoboam; ...; Mathan akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yosefu aliyekuja kumposa Maria, Mama wa Yesu. Sasa kwa kuelewa kwako, kwa kuwa Biblia inasema fulani akamzaa fulani, kila mmoja wa hao 28 wanaotajwa alizaa mtoto mmoja tu? Hoja zako zikite kwenye ushahidi.
 
Hii hatari.
 
Jua kuzama kwenye matope , sijui walituchukuliaje vile.
 
Maandiko ya Kwenye Biblia Ni Bora tuyaache tu Kama yalivyo,maana hata ukianza kuuliza uliza kuhusu chimbuko la Mungu mwenyewe utaambiwa unakufuru.
 
So maandiko ni kwa ajili ya wacha Mungu tu?
 
Story ya Nuhu na Safina yake... familia moja itengeneze safina ya kutosha sample ya wanyama wawili-wawili wa kila species? Kwahio tuseme Nuhu aliingia na Tembo wanne.

Species zote za penguins wali survive vipi katika izo floods?

Nyangumi na dolphins je? Miti na mimea mingine ilisurvive vipi ihali ilikua submerged kwa muda wa siku 40...

Hivi unauelewa wa ecosystem?

Kwahio Nuhu alibeba kunguni wawili kwenye safina yake ehh? Na nzi wawili na mbu... ahh sawa.. [emoji88][emoji88]

Hii kitu ni 100% hakikutokea...
 
Story ya Yesu kuzaliwa Kwa nguvu za roho mtakatifu! Kwamba Roho Mtakatifu aliingia mean bikra Maria Kisha mimba ya Yesu ikatungwa. Kwa maneno menginne Maria hakukutana na mwanaune wakati anatunga mimba ya Yesu
 
ili usolve hiyo paradox inabind utumie evolution theory,ambayo ina inainyima nguvu creation theory
 
Ww jamaa bado upo
 
Ahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…