Mpentecoste
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 283
- 319
Vita vyetu si kwa damu na nyama. Yaani hutakiwi kutumia nguvu au mwiliwako kabla hujashughulisha roho..Maombi mfano ukigombana na mtu hasira inapokujaa chuki ikidhidi unaweza kupigana naye Hapo utatumia nyama lakini ukipiga magoti nakuomba au ukamamehe kwa kumuonyesha upendo utakuwa umetumia roho mambo mengi maandalizi au maharibiko yanaanza kwenye fikra moyoni au mawazoni ambako hakuonekani huko ndio kwenye Vita halisi..angalia mspenzi yanayopelekea ngono raha ya tendo na maumivu ya kuachwa au raha ya upendo Ni tofauti hisia za ndani ndio kali zaidi kuliko mambo ya mwiliVita vyetu siyo vya damu na nyama ilihali adui yangu anakuja kwa bunduki, binduki panga, mikuki na mishale aiseeeee.
Ok, nalikujua tangu tumboni mwa mama yako, mwanza hadi mwisho. Kwa hiyo sasa tumesha hukumiwa kabisa kabisa maana alishajua Mimi Machepele ntakuwa zangu mbinguni.
#NITARUDI