Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

Waislamu wanaruhusiwa kuoa na wanaoa wake wengi.
Huwa najiuliza wazungu walifanikiwa vip kutufanya tuone kuoa wake wengi ni dhambi ila ushoga ni haki za binadamu
 
Poa tu shetani mwenzangu.
Kuna rafiki yangu huwa ananiambia pokea baraka za Israel..namwambia staki huo upuuzi.
Yaani watu hata kutumia akili ndogo tu wameshindwa.
Ushambiwa israel mtoa roho jiongeze
 
Kwamba Mungu aliumba dunia na kila kilichomo (sawa) kisha akaumba mwanaume na kuumba mwanamke kwa kumtoa ubavu mmoja mwanaume (sawa).

Kisha hao wawili (Adam na Eva/Hawa) wakazaa watoto wawili (Kaini na Abeli) - (sawa).

Kisha Abeli akawa mfugaji na Kaini akawa mkulima (sawa). Lakini Mungu alipendezwa zaidi na sadaka za Abeli kuliko za Kaini (sawa). Kaini akamuua kaka yake kwa wivu (sawa).

Mungu akampa adhabu Kaini kwa kumfukuza bustanini awe anatanga tanga huku na huko duniani (sawa).

Kaini akamwambia Mungu kuwa akitangatanga watu atakaokutana nao watamuua (shida inaanza kuja hapa). Mungu akamwekea alama usoni ili walimwengu wasimuue (shida inaendelea). Kaini akaenda huko nchi ya Nodi mashariki mwa Eden.

Kisha kaini akalala na mkewe akamzaa mtoto aitwae Henoki. (Sio sawa).

Reference: Soma kitabu cha Mwanzo 4:1-17.

Hii story haija balance kabisa hasa hapo mwishoni. Kama Mungu aliumba Adam na Hawa na wakazaa watoto wawili tu ina maana duniani palikuwa na watu wanne tu. Je hao watu aliokuwa akiwaogopa Kaini ni akina nani? Je huyo mwanamke alielala na Kaini na kuzaa nae mtoto alitoka wapi?

Wataalamu hebu naomba mtusaidie hapa.
Kwa akili yako kisoda hukujua adam alikua ana watoto zaid ya hao wawili na walikua wanaoana ndugu kwa ndugu
 
Kwa akili yako kisoda hukujua adam alikua ana watoto zaid ya hao wawili na walikua wanaoana ndugu kwa ndugu
Hii ya watoto wengine mliipata wap? Na kama wanawake walikuwa hawahesabiwi it means ....kuna uwezekano vitu vingi sana tena Sanaa vimefichwa .....lakini pia vipi kuhusu kuandikwa kina Eva,delila,....je walikuwa wanachagua story baadhi za kuwaandika wanawake?
 
Kwamba mbinguni Kuna mabikira(hoor Al Ayn) wengi ambao ni maalumu Kwa ngono tu maana hawazai.
 
Hilo ni fumbo la imani...Ee bwana sistahili uingie kwangu lakini sema neno 1 tu na roho yangu utaona?
 
Story ya Mariam kumzaa Issa Bin Mariam huku akila tende kwenye Surat Maryam. Pia story za Juju wa Majuju kwenye Quran. Story nyingine ya Jua kuzama kwenye Matope kwenye Quran hapo tulipigwa.

Story ninazoziamini kwenye Quran ni pamoja na Muddy kuwasilimisha mashetwain, mashetwain kuingia msikitini na kuwapukiza waislam kwenye makalio yao na nyingine ni ile ya allah kuingiza mguu wake mmoja jehanam baada ya kuiuliza kama Jehanam imejaa imejaa, ilipomwqmbia bado ,akaingia yeye na mguu wake mmoja.
 
Binafsi kwenye kitabu cha dini yangu ya Kikristo, yaani BIBLIA TAKATIFU, sijawahi wala sitarajii kusikia Ngano humo ndani. Yote yaliyomo humo ni kweli tupu. Ni mafundisho ya kweli na ya UHALISIA.
Eti bahari ya Shamu (red sea) iligawanywa na Musa ikatokea njia katikati ya bahari?
 
Vitabu vya dini ukitumia logic, HUTOBOI. Maana kuna vingine havimake sense kabisa. Kufika mbinguni kazi sana.

Kuna muda unasoma unaona kabisa hii chai sasa, hasa yule mwamba aliyemezwa na samaki siku 3. Kwamba alikuwa tumboni amekaa tu. Sijui anapumuaje huko tumboni.

Mungu kama unatusikia tusamehe tu baadhi yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waliandikwa wachache.
Hata amri za mungu zinawahusu wanaume..kuna ile 'usizini'. Niliwahi ambiwa hapa jf kuwa mwanaume ndo anazini na si mwanamke.
Kuna nyingine inasema usitamani mwanamke/mke wa mwenzio ina maana kutamani mume wa mwenzio ni ruksa
Wewe Binti wewe[emoji3064]
 
Back
Top Bottom