Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Waliwapataje hao watumwa na walipatikana wapi?..waliouawa mapinduzi ni waarabu tu?
Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika Januari 12, 1964, kimsingi yaliongozwa na Afro-Shirazi Party (ASP) na Zanzibar Nationalist Party (ZNP), pamoja na kuungwa mkono na Tanganyika African National Union (TANU). Mapinduzi hayo yalichochewa kwa kiasi kikubwa na mivutano ya kikabila na kisiasa kati ya Waarabu na Waafrika huko Zanzibar, huku Waafrika walio wengi wakihisi kutengwa na serikali iliyotawaliwa na Waarabu. Wahusika wakuu nyuma ya mapinduzi ni pamoja na: 1. John Okello: Kiongozi wa Afro-Shirazi Party (ASP) na mmoja wa makamanda wakuu wa mapinduzi. Okello alikuwa mhusika mkuu katika kuandaa maasi na kuhamasisha uungwaji mkono kutoka kwa Waafrika walio wengi, hasa katika kisiwa cha Zanzibar. 2. Abeid Karume: Kiongozi wa Afro-Shirazi Party, ambaye baadaye alikua Rais wa kwanza wa Zanzibar baada ya mapinduzi. Ingawa hakuhusika moja kwa moja katika mapambano ya silaha, Karume alikuwa na nafasi kubwa ya kisiasa katika kipindi cha baada ya mapinduzi. 3. Serikali ya Tanzania: Serikali mpya iliyoundwa ya Tanganyika Bara, inayoongozwa na Julius Nyerere na chama chake, TANU, ilichukua jukumu muhimu katika kusaidia mapinduzi. Serikali ya Nyerere ilitoa msaada wa kijeshi na kusaidia katika uimarishaji wa madaraka baada ya mapinduzi. Mapinduzi hayo yalisababisha kupinduliwa kwa Sultani wa Zanzibar na serikali iliyotawaliwa na Waarabu, na kusababisha kuanzishwa kwa jamhuri yenye mwelekeo wa kijamaa. Ilifuatiwa na muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Tanzania mnamo Aprili 1964.
 

Huku kwetu tumefundishwa kuwa ni Mapinduzi Matukufu. Kumbe kuna watu wanayaona kitofauti hivyo....!?
 
sultani wamedindaa na wanasubiri wanzazinari mkapigwe moto siku ya kihama..mtajua hamjui umeshachongewa kwa mtume huko mmekataa utumwa.
 
Serikali haikuwa ya waarabu bali mndengereko mohammed shamte aliyeshinda uchaguzi 1963,asp ilishindwa uchaguzi,chini ya siku mia baadae, mapinduzi yakafanyika,hao walikandamizwa na kutengwa ndani ya siku mia?!
 
Serikali haikuwa ya waarabu bali mndengereko mohammed shamte aliyeshinda uchaguzi 1963,asp ilishindwa uchaguzi,chini ya siku mia baadae, mapinduzi yakafanyika,hao walikandamizwa na kutengwa ndani ya siku mia?!
Huyo ni Waziri tu Sultani alikuwa Mwarabu.
 
Hahaha watumwa wake ndio wanamsamehe?

Mi nilidhani kwa sababu wanamuita Sultan nikadhani bado anawamiriki, na ujio wake tuliokuwa tumeambiwa, ambao ni fake kwa mujibu wa Pascal Mayala nikajua anakuja kuamua, ama awarudishe watumwa wake aliko watoa na achukuwe visiwa vyake au auze baadhi na abaki na wachache ili aweze kuwahudumia vizuri.

Watumwa hawana haki miliki ya visiwa vya zanzibar. Sultani ndiye mmiliki halali.
 
Serikali haikuwa ya waarabu bali mndengereko mohammed shamte aliyeshinda uchaguzi 1963,asp ilishindwa uchaguzi,chini ya siku mia baadae, mapinduzi yakafanyika,hao walikandamizwa na kutengwa ndani ya siku mia?!
Nchi ilikuwa ya waarabu, huo uchaguzi ulikuwa batili. Hawakupaswa kujimilikisha ardhi isiyokuwa yao.

Ardhi ilikuwa ya Sultan na hajawapa mpaka leo.

Wao walimpindua mwenye nyumba wakajimilikisha nyumba.

Sisi ardhi ya Tanganyika Nyerere alikabidhiwa kwa niaba yetu.
 
kaka this,kaka that,kaka kaka kaka kakaa....

motherfvker are you gay?

You kaka people too much motherfvcker....
 
Phew! Mapinduzi matukifu yako salama. Nilitaka kushangaa hizi habari za Sultani kukanyaka Zanzibar.
Tangu Mungu amchukue JPM na Rais akawa Samia kuna chuki na nongwa imezaliwa huku bara.

Samia anaweza kufanya mema kumi na baya moja lakini hilo baya litaongelewa na kupewa kipaumbele kama vile hayo mema sio lolote.

Kuna chuki ya kijinga inakuzwa miongoni mwetu lakini Mungu ni zaidi ya ubaya wowote wa binadamu.
 
Mfumo wao ulikua kama uingereza
Uingereza ni Mzungu anamtawala Mzungu mwenzake.

Iweje Sultani Mwarabu awatawale Waafrika wakati Waarabu hawawezi kukubali kutawaliwa na Sultani wa Kiafrika huko Uarabuni.

Wakuwaiti walimkataa wazi wazi Mwarabu mwenzao aliyekuwa amezaliwa na Kijakazi wa Kihabeshi kwasababu ni Mweusi.

Nendeni mkatawale Oman,Afrika hatujitaji Usultani tunataka zibaki Jamhuri tupu.
 

Hiyo source amabyo unaiona wewe ni tatizo kwako Lissu alijiridhisha nayo na ndio akaiamini
 
Asanteni sana kaka zangu Chale na SSS kuniwezesha kuupata ukweli huu.
Na Mimi binafsi nashukuru kwa taarifa hii muhimu ya ukweli. Nikipitia majibu naona bado Kuna "bifu" kubwa kati ya wanamapinduzi na familia ya Sultan!!! Hivi atrocities kule Zanzibar ilitokea tu 12 January 1964 tu huko siku za awali wakati wa Utumwa hakukuwa na atrocities, au hizo atrocities za wakati wa Utumwa hazitatazamwa wakati wa Judgement Day!? Ukipata wasaa Mkuu penyeza swali hili kutoka kwa Chale na SSS walifikishe kwa wahusika!!!
 
Mkuu ubaguzi unakusaidia nini?
Sio mimi ni Waarabu wenyewe ndio wabaguzi kwahiyo sijui na wao unawasaidia nini?

Hivi unafikiri Saudia watakubali Sultani wa Kiafrika si wataenda na majambia hadi kwenye kasri ya Sultani na kumuondoa "Al Abidi" huyo na huenda hata wasingemuua bali wangempa kazi ya kuosha magari na kumwagilia Bustani za Ikulu.
 
Maadamu bado kuna Baraza la Mapinduzi basi ina maana bado kitisho kipo na kuyalinda hayo Mapinduzi ni lazima. Sasa kivipi aliyepinduliwa arudi ilihali waliomtimua bado wapo ngangari?

Nilishangaa hii taarifa na nikauliza akija atatambulishwaje, kama Sultani Jamshid au kama Bwana Jamshid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…