imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 30, 2024 #121 gallow bird said: Wewe ndiyo uache kupost utoto, sultan yuko zanzibar kabla babu zake nyerere hawajatoka utusini kuhamia tanganyika Click to expand... Usultani umeondolewa na kama imewauma sana someni Albadiri kama itawasaidia. Mapinduzi yalikuwa ni muhimu sana yamebakia Mapinduzi ya kifikra ya kuuondoa Uislamu Visiwani ili Watu wawe HURU na utamaduni wa Mwarabu.
gallow bird said: Wewe ndiyo uache kupost utoto, sultan yuko zanzibar kabla babu zake nyerere hawajatoka utusini kuhamia tanganyika Click to expand... Usultani umeondolewa na kama imewauma sana someni Albadiri kama itawasaidia. Mapinduzi yalikuwa ni muhimu sana yamebakia Mapinduzi ya kifikra ya kuuondoa Uislamu Visiwani ili Watu wawe HURU na utamaduni wa Mwarabu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 30, 2024 #122 Hatari sana... Cc: Mahondaw
K Kemit New Member Joined Jan 11, 2016 Posts 4 Reaction score 2 Dec 30, 2024 #123 INALILAHI WAINA ILAYHI RAJIUN.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Dec 30, 2024 #124 usiku huu wa saa nne nimesikia kafariki huko Uk. sijui ni kweli?
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Dec 31, 2024 #125 imhotep said: Usultani umeondolewa na kama imewauma sana someni Albadiri kama itawasaidia. Mapinduzi yalikuwa ni muhimu sana yamebakia Mapinduzi ya kifikra ya kuuondoa Uislamu Visiwani ili Watu wawe HURU na utamaduni wa Mwarabu. Click to expand... Teheheheheee kumbe uislam ndiyo shida yako,wenzako wengi tu wamezikwa wameuacha uislam ukinawiri tu licha ya kupambana kweli kuupiga vita,nawe utafukiwa utauacha uislam ukiendelea kunawiri ulaya,america nk
imhotep said: Usultani umeondolewa na kama imewauma sana someni Albadiri kama itawasaidia. Mapinduzi yalikuwa ni muhimu sana yamebakia Mapinduzi ya kifikra ya kuuondoa Uislamu Visiwani ili Watu wawe HURU na utamaduni wa Mwarabu. Click to expand... Teheheheheee kumbe uislam ndiyo shida yako,wenzako wengi tu wamezikwa wameuacha uislam ukinawiri tu licha ya kupambana kweli kuupiga vita,nawe utafukiwa utauacha uislam ukiendelea kunawiri ulaya,america nk