Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

Wewe ndiyo uache kupost utoto, sultan yuko zanzibar kabla babu zake nyerere hawajatoka utusini kuhamia tanganyika
Usultani umeondolewa na kama imewauma sana someni Albadiri kama itawasaidia.

Mapinduzi yalikuwa ni muhimu sana yamebakia Mapinduzi ya kifikra ya kuuondoa Uislamu Visiwani ili Watu wawe HURU na utamaduni wa Mwarabu.
 
Teheheheheee kumbe uislam ndiyo shida yako,wenzako wengi tu wamezikwa wameuacha uislam ukinawiri tu licha ya kupambana kweli kuupiga vita,nawe utafukiwa utauacha uislam ukiendelea kunawiri ulaya,america nk
 
Back
Top Bottom