imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Usultani umeondolewa na kama imewauma sana someni Albadiri kama itawasaidia.Wewe ndiyo uache kupost utoto, sultan yuko zanzibar kabla babu zake nyerere hawajatoka utusini kuhamia tanganyika
Mapinduzi yalikuwa ni muhimu sana yamebakia Mapinduzi ya kifikra ya kuuondoa Uislamu Visiwani ili Watu wawe HURU na utamaduni wa Mwarabu.