Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Siuzi mwenyewe. Kwann niuze mwenyewe na madalali mpo?Short and clear, uza mwenyewe usiwashirikishe......pesa mwanakharamu...!!!
Heshimu makubaliano/agano. Watakuua Na Pesa hutoitumia. Hiyo Ni torati ya mtaani.Hii ni Propaganda kama Propaganda zingine, haiwezekani Mali yangu nikuambie milioni mia ulete mteja Wa Mia nne eti nikuachie milioni mia tatu kiboya, nakupa 10% yako tu hapo. Na LA kunifanya huna..
Bora alivyo fanya hivyo vinginevyo angepigwa risasi. Madalali Ni kama majambaziSisi tulichukua nyumba bila dalali.
Mmoja wetu (asietaka iyo nyumba) alienda na dalali wakazurura akapata nyumba ila akajofanya hajaipenda. Akasepa, akamchorea ramani yule anaeitaka. Jamaa straight akaenda kwenye nyumba akaongea na maza house, akakubali maza house akailipia.
Kurudi madalali kesho na mtu wanasema nyumba imelipiwa. Wakajaribu kumjua alielipia wanakuta sura ngeni. Wakajua wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
Wanapenda kuogopeka, Binafsi nimejijengea mazingira Madalali hunisikiliza kile naamua Mimi, na bado Biashara tunafanya kama kawaida.. Ukiwaonesha Hofu watakutisha sana hawa..Heshimu makubaliano/agano. Watakuua Na Pesa hutoitumia. Hiyo Ni torati ya mtaani.
Yes u have spoken my mind dalali sjo MTU WA kumchukulia poa hata kidogoMadalali ni sooo kwanza wengi ukiwaona tu na Ile team Yao wanapena connection maneno Yao tu ni mafumbo mafumbo na yamekaa kimafia sana wale level zao ni majasusi maana Wana element za uspy wewe mtu anatafuta mteja wa kununua Mali ya millions of 💰 na anampata ndani ya siku chache tu Huyo mtu wa mchezo?
Umekutana na learners bro au Pesa haikuwa nyingi. Madalali Wana mindset kama ZA majambazi. Jambazi Mali ya mtu anaona kama ya kwake Na anaionea uchungu kama Mali yake vile. Just be careful broWanapenda kuogopeka, Binafsi nimejijengea mazingira Madalali hunisikiliza kile naamua Mimi, na bado Biashara tunafanya kama kawaida.. Ukiwaonesha Hofu watakutisha sana hawa..
Biashara kibao nimewahi kuwazunguka na hawakuthubutu kukohoa, zaidi anakuja kujichekesha ili umpooze na chochote kitu..
Kikubwa ni ujiamini tu.
Ndio maana wamiliki WA nyumba wanawaogopa Na kuwaheshimu mno Kwa Sababu wanajua mziki wao. They know a lot of dark artsMadalali ni sooo kwanza wengi ukiwaona tu na Ile team Yao wanapena connection maneno Yao tu ni mafumbo mafumbo na yamekaa kimafia sana wale level zao ni majasusi maana Wana element za uspy wewe mtu anatafuta mteja wa kununua Mali ya millions of 💰 na anampata ndani ya siku chache tu Huyo mtu wa mchezo?
Kasema madalali wote duniani wataenda peponi.Samahani, kwani Waziri kasemaje maana wengine hatukusikia
Hawa watu wana experience ya kucontrol akili ya mnunuziNi akili Tu Hakuna cha mzizi Wala Nini. Akili ya binadamu Ina nguvu kuliko uchawi wowote unao Jua au kuusikia
Nimesema 100 wewe unaleta wa 400 kwanini? Kwanini hufuati maelezo kuwa inahitajika 100? Usipofuata maelekezo umevunja makubaliano tunakaa chini tunakubaliana upya.Sasa si ungesem unauza m 400 tangu mwanzo?
Muwe mnanyoosha maelezo bwanaa