Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

Mimi kwetu sikuwahi kuwaona wanapika tambi ,tambi nimekuja kuzijulia ukubwani.Ilikuwa ni mwendo wa wali mwingi sana ,kande au ugali .Siyapendi matambi nikila naona kama nakula minyoo hayana ladha na yananukaaa.
Haaa haaa umenifurahisha, haya bwana, si wa mjini hizo tambi tumekua nazo pamoja na wali na ugali.
 
Huwa nakunywa gin na tequila mara moja moja. Konyagi hapana!
Haha! yani unakunywa gin halafu unasema konyagi hapana hivi unaijua gin wewe...?
sa si heri konyagi gin ipo siku utatembea uchi..!πŸ˜‚
gin na tequila yote makali hayo liqueur ni kali lkn zinauafadhari ndo hizo malibu, frangelico, tia maria, disarono, limoncelo n.k
 
Nimependa hapo, ukutaka kuharibu kotekote...hahah maisha lazima tujifunze na makosa, sio mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…