Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wengi hulaani na kutaka kuona hawafanikiwi wapaukiane ila sioni hiyo sababu ya kuomba hivyo kwa kuwa kila mtu ana haki ya kupenda na kuufuata moyo wake.Nawaombea Mema, kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike...
kauli hii imejaa uungwana wa kipekee sana kutoka kwa binadamu wachache sana walojaaliwa Moyo wa subra na ustahimilivu wa kutosha.
Mimi huwa naamua kujiweka mbali kimya nisitake kujua lolote limhusulo lakini wao hawaachi kunitafuta tafuta.
Huwa sipendi kuwa kero kwenye maisha ya mtu kwa namna yeyote ile.