Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Ila tendo la ndoa likikosekana hakuna Mahusiano hapo nyinyi mmefungua SACCOSMwanamke kwny mahusiano yako,
Jitahidi uwe na cha kuoffer Zaid ya tendo la ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tendo la ndoa likikosekana hakuna Mahusiano hapo nyinyi mmefungua SACCOSMwanamke kwny mahusiano yako,
Jitahidi uwe na cha kuoffer Zaid ya tendo la ndoa
• 🤒🤒, kwa hiyo tuseme haya mambo yanaazia kwenye uleaji mtoto/watoto?,Hiyo mitabia michafu sio chanzo eti kisa umri umeenda, ni malezi na makuzi na kujiendekeza..!! Sababu hata km mtu alikuwa na tabia hizo labda kutokana na mazingira aliyokulia lkn akitaka kuacha anaweza.!!
Itakuwa hiyo mimama na kwenye ndoa imekaa, halafu ije isagane useme stress za ndoa?? Huyo ni tabia yake tu
Mtakufa tu.Mentality ya "ukifa utajiachaje" ife kabisa. Wao wanadhani sisi ndio tunatangulia kufa..wanawaza mali tu
Weka sawa, akiomba nauli na akatumiwa lazima aende.Ukitumiwa nauli...
Hapana mwanaume hawazi hivyo😁😁, hapo umeeleweka mkuu, maana kichwani inakuwa zimeaki hasira na kisasi, kwa kile alicho kifanya kukuzunguza wakati huo wa utafutaji,
Lakini shida inakuja pale naye mwanamke anakua anaogopa kuliwa kizembe akihofia kuachwa mapema kabla ya malengo yake.
Uhalisia wa 50/50 ni ndoto ya mlevi ila 50/50 wataiweza tu kwa mchango wa malezi na huduma kwa familia ila sii kwa fikra walizo nazo hii leo.Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-
|-• Wanaume wengi wanatamani, wanawake wao waelewe umuhimu wa mawasiliano ya wazi na kuheshimiana, kuwa na kusudi/lengo la pamoja, kusaidiana katika kujenga maisha. Pia, kuwa na nafasi ya kujitambua kibinafsi na kudumisha uhuru ndani ya uhusiano.
||-• Na kama watafanya uhusiano wao au ndoa yao itakuwa bora na wanaume wao watawatendea vizuri zaidi, watafanya kazi kwa pamoja ili kuboresha mawasiliano, kuelewa mahitaji ya mwenza, na kushiriki katika hali ya furaha na changamoto kwa pamoja,
|||-• Wanaume toa Ushauri Kwa wanawake juu ya kitu chochote ungetamani wanawake wajue.
Tunapunguza makali mkuu, tukikaa kimya bila kuboostiana bongo zetu, tutaumizwa kwa kiwango kikubwa..Mnapoteza muda,sio kwa hawa viumbe wa zama hizi..hivi mlifikiri ilikosewa iliposemwa tuishi nao kwa akili..ni living nuclear..! Muda wowote tu wanaharibu.!
Ni sawa..Tunapunguza makali mkuu, tukikaa kimya bila kuboostiana bongo zetu, tutaumizwa kwa kiwango kikubwa..
We mroge kwa kumzalia mtoto mzuri hayo mengineyo waachie wachawi kazi zao usiingilie majukumu ya watu.Sijawahi kwenda huko ila atanipeleka akijichanganya! Atarogeka vizuri tu 🤣
The end justifies the means!
Hakika mkuu japo za mwizi ni 40.• 😬😬😬, Wapo secret sana hao watu, mpaka ujue uwakamate ni safari ndefu inayo hitaji undercover.
• Anyway maisha ni mafupi sana, tuendelee kula bata, panapo uwezekano.
Kwenye mazingira hayo uliyo taja, huwezi pata material yaliyo kamilika, labda kama umeamua kutafuta ugonjwa wa moyo,.Hapana mwanaume hawazi hivyo
Sijawahi ona mwanaume anaeconclude mtu ni malaya kwa kumla haraka haraka
Shida itakuja circle yako, lugha yako, marafiki zako na alikukula kwenye mazingira gani
Mtu nimekupatia club uko na wenzako mnaenjoy kistaarabu naweza nkakuamini ila kuna mazingira kidogo inakua haileti picha mbaya
Mtu nimekukuta kwenye meza yako upo na drinks zako tukaconverse vizuri uko zako busy na mambo yako, not dressing too slutty una self control lazima heshima iwepo
Sasa mtu nimefika table yako stori mbili tatu ushachomekea niongezee bia
😂😂😂
Hata kama sio mbebez wa kuuza lazima upate ukakasi wa kuendelea kua naww baada ya sex