Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #121
• 😬😬😬, Wapo secret sana hao watu, mpaka ujue uwakamate ni safari ndefu inayo hitaji undercover.Mtu akishaendekeza mawasiliano na ukaribu na ex basi jua fika bado kuna anachokihitaji. Binafsi nisijue tu ke wangu anawasiliana na ex wake, nikijua namuweka kwenye kundi la mafurushi, na mafurushi huwa yanavurumishwa mbali.
• Anyway maisha ni mafupi sana, tuendelee kula bata, panapo uwezekano.