Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Nilifikia huko kwa sababu alianza kuhoji kwann nilifuta namba yake alipozidi ili kumzima ndio nikamuhoji hilo la mumewe ili atulize wenge.

Naheshimu mahusiano ya watu hasa yakishafikia hatua fulani, nilifanya vile kwa sababu namjua alishaapa kutokunitafuta na namba anablock lakin akikaa ananitafuta.

Kuna siku kanitafuta ananiambia amevaa Tshirt aliyoichukua kwangu, nikabaki nashangaa 😁

Mimi sinaga kinyongo na mtu, hata wabaya wangu nawaombea mema kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike.
Nawaombea Mema, kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike...

kauli hii imejaa uungwana wa kipekee sana kutoka kwa binadamu wachache sana walojaaliwa Moyo wa subra na ustahimilivu wa kutosha.
 
Back
Top Bottom