Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Sasa kupewa taarifa na mbususu wapi na wapi jirani? Ye alinitafuta anirushe roho anaolewa ila mimi nikamzimia juu kwa juu.
Kwahiyo kumbe kiroho kilikuwa kinauma.??😂😂😂
Ww ungemjibu Ahsante kwa taarifa na hongera, ndoa njema.!
Sasa maneno ya mmeo anajua km una namba yangu umeyatoa wapi??
Mbona hujamuuliza km “mumeo ana taarifa uliwahi kubanduliwa na mimi” hujamuuliza??
 
Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-

|-• Wanaume wengi wanatamani, wanawake wao waelewe umuhimu wa mawasiliano ya wazi na kuheshimiana, kuwa na kusudi/lengo la pamoja, kusaidiana katika kujenga maisha. Pia, kuwa na nafasi ya kujitambua kibinafsi na kudumisha uhuru ndani ya uhusiano.

||-• Na kama watafanya uhusiano wao au ndoa yao itakuwa bora na wanaume wao watawatendea vizuri zaidi, watafanya kazi kwa pamoja ili kuboresha mawasiliano, kuelewa mahitaji ya mwenza, na kushiriki katika hali ya furaha na changamoto kwa pamoja,

|||-• Wanaume toa Ushauri Kwa wanawake juu ya kitu chochote ungetamani wanawake wajue.
waache kukataa tamaa ya kuolewa au kuzaa na kuanza kusagana au kujiuza.

Kwa muda muafaka na wakati wake ufaao bila kuchelewa, Mungu atawabariki ...
 
Hawajifunzi, yupo mmoja mwaka jana alinicheki akanijulisha anaolewa, nikamwambia poa kila la heri, sikuwa na namba zake akaniuliza ina maana namba zangu ulizifuta zanini, nikamwambia kwa afya ya maisha yako ya mahusiano na ndoa sio vyema kuwa na mawasiliano na mimi. Akaendelea kuongea nikamuuliza jamaa yako anajua una mawasiliano na mimi? Akaomba akate simu hana majibu.

Nikajiuliza huyu mtu anajielewa kweli kwa hatua aliyofikia?
. Hapa inaonyesha kuwa aliolewa ili kutimiza maana ya ndoa[ jamaa alikuwa hapendwi ] , na si moyo wake ulimtuma kufanya masuala ya ndoa.

. Na ungejaribu kumuomba 6*6, ingekuwa mapema sana 😑😑.
 
Ewe mwanamke Kama ulimsaliti mtu na akakuacha kwa amani usiwe kero kwenye maisha yake maana wewe ndo ulikua msaliti.
🙂🙂, hapo ujue anataka wote mkose, pia anajilaumu kile alicho kifanya,, yaweza kuwa alifanya kwa mkumbo wa marafiki zake, bila kupembua athari za maisha ya baadae.
 
Kwahiyo kumbe kiroho kilikuwa kinauma.??😂😂😂
Ww ungemjibu Ahsante kwa taarifa na hongera, ndoa njema.!
Sasa maneno ya mmeo anajua km una namba yangu umeyatoa wapi??
Mbona hujamuuliza km “mumeo ana taarifa uliwahi kubanduliwa na mimi” hujamuuliza??
Nilifikia huko kwa sababu alianza kuhoji kwann nilifuta namba yake alipozidi ili kumzima ndio nikamuhoji hilo la mumewe ili atulize wenge.

Naheshimu mahusiano ya watu hasa yakishafikia hatua fulani, nilifanya vile kwa sababu namjua alishaapa kutokunitafuta na namba anablock lakin akikaa ananitafuta.

Kuna siku kanitafuta ananiambia amevaa Tshirt aliyoichukua kwangu, nikabaki nashangaa 😁

Mimi sinaga kinyongo na mtu, hata wabaya wangu nawaombea mema kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike.
 
. Hapa inaonyesha kuwa aliolewa ili kutimiza maana ya ndoa[ jamaa alikuwa hapendwi ] , na si moyo wake ulimtuma kufanya masuala ya ndoa.

. Na ungejaribu kumuomba 6*6, ingekuwa mapema sana 😑😑.
Mtu akishaendekeza mawasiliano na ukaribu na ex basi jua fika bado kuna anachokihitaji. Binafsi nisijue tu ke wangu anawasiliana na ex wake, nikijua namuweka kwenye kundi la mafurushi, na mafurushi huwa yanavurumishwa mbali.
 
Nilifikia huko kwa sababu alianza kuhoji kwann nilifuta namba yake alipozidi ili kumzima ndio nikamuhoji hilo la mumewe ili atulize wenge.

Naheshimu mahusiano ya watu hasa yakishafikia hatua fulani, nilifanya vile kwa sababu namjua alishaapa kutokunitafuta na namba anablock lakin akikaa ananitafuta.

Kuna siku kanitafuta ananiambia amevaa Tshirt aliyoichukua kwangu, nikabaki nashangaa 😁

Mimi sinaga kinyongo na mtu, hata wabaya wangu nawaombea mema kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike.
Akija gheto utamfukuza?? 😜
 
Back
Top Bottom